mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siyo kweli!! Mtu anaweza kuwa mtumishi wea umma na akafanya biashara pia!! Mtumishi wa umma ana nafasi ya kufanya miradi mingine kwa urahisi maana anapata mikopo mikubwa kwa urahisi kwa dhamana ya ajira yake!!Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.
ONGEZEKO litakuwa kubwa sana hata kwa asilimia 10 tu kwa wanaopata zaidi ya milioni moja ongezeko la 10% ni sh 100,000/=. Kusema ukweli katika hili mama ameupiga mwingi sana!!Ongezeko likizidi 30,000 kabla ya makato, itakua miujiza
Walimu wana mishahara mizuri kuliko kada zingine wanazidiwa tu na kwa madaktari, wafamasia na wahandisi!!Kumbe walimu Wana mishahara mizuri😳😳
Kuna mtu namfahamu mpaka anastaafu akiwa kama mwalimu wa kawaida alikuwa anapata mshahara wa zaidi ya milioni mbili na laki tano!! Lakini mitaani watu wanamwona kama ticha asiyekuwa na mshahara mzuri wakati wao hata milioni moja hawajafikia na wanakaribia kustaafu!!Walimu wana mishahara mizuri kuliko kada zingine wanazidiwa tu na kwa madaktari, wafamasia na wahandisi!!
Kula kwanza usije lala njaa. Hapo umemaliza kuandika?Payroll ishatoka tayari kila ongezeko kwa TGTS na TGS zote zimebainishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole tichaWanga mshaanza
Hakuna maelekezo tutawawekea kimyakimya kila mtumishi ataona kwenye acc yake tarehe 23 asbh akina baba msisahau Rasket na akina mama msihahau vikapu [emoji120]Mpaka sasa hatujasomewa barua ya maelekezo [emoji24] ukiona manyoya?........!
Tarehe 25 tulia hivyohivyoHakuna maelekezo tutawawekea kimyakimya kila mtumishi ataona kwenye acc yake tarehe 23 asbh akina baba msisahau Rasket na akina mama msihahau vikapu [emoji120]
Ndio nini ?Payroll ishatoka tayari kila ongezeko kwa TGTS na TGS zote zimebainishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuja kupigwa nondo na vibaka kwa pesa ndogo iliyo ongezwa mna tangazia mpaka majambazi tarehe ya kutoka mshahara wenumimi nafikiri muda utasema embu tusikilizie watumishi wenzangu mpaka jumamosi asubuhi itakuwa imefahamika
Nimekumbuka kwetu namanyereHongereni watumishi,
Mama yenu anaupiga mwingi[emoji4]View attachment 2295097
Hajahahahaaa!!Sisi tutakuita Mbwa tu, inatosha.
Kabla ya Makato au baada ya makato?Mwl wa TGTS F jiandae kwà 280,000
Ahsante mwanafunziPole ticha
NdioIla 23% nyongeza kwa wote haiwezekani. Hii ni kwa wale wa kima cha chini tu ambao ni wachache
Yes Dodoma Leo hakuna kitu kama hicho but siku za nyuma enzi za Kikwete ilikuwa ikisemwa nyongeza wewe nenda tu Kwenye basic Kisha zidisha na hiyo % ndo basic yako mpya.Hakuna Kitu kama hicho.nyongeza haiwez Kuwa kubwa hivyo. Tatizo watu 23 wanapiga flat rate
Reserve my comment.