Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Kipindi cha Rais Magufuli siri zilikuwa zinavuja sana haswa siri kutoka Ikulu, ilifika hatua hata hotuba ya Rais inajulikana kabla hajaenda kuhutubia. Mfano mwingine hata taarifa za kifo cha Rais Magufuli zilivuja kabla ya tarehe 17/03/ watu walijua kuwa hatunaye tena japo serikali ilijitahidi kuficha kwa kila namna....Kuna siri gani alivujisha? Wengi nimewauliza hili swali lakini sikuwahi kupata jibu
Weka hapa payrol!Payroll ishatoka tayari kila ongezeko kwa TGTS na TGS zote zimebainishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka payrol mkuu!!Wadau wenzangu mambo yameivaa mtafurahi sana achaneni na mapoyoyo wanaowakatisha tamaa
kwani wewe hujui wanaongezwaga shilingi ngapi? au na wewe mmoja wao? mwaka huu hamna kitu ndugu ndiomaana jiwe aliwakalisha miaka sita nil nil
Hizi number zako hazieleweki na zina makosa, rekebisha tukueleweMwl w tgts f jiandae kwà 280000 ongezeko la 1235000
Mshahara upo kwa ajili ya kuwainua wale wa kima cha chini mkuu angalau nao wainuke,Oya 55K?
Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?
Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake
This is totally robbery.
Ila kiwango cha Elimu nacho kitawafanya mtofautiane japo wote mpo daraja moja mfano DARAJA D,Oya 55K?
Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?
Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake
This is totally robbery.
Ule mkeka umezuiwa na moderators.mimi nilisave kwa mobile yangu.ila kwa Sasa haufunguki.sijui ni kwa Nini.😂😂😂😂😂Tafuteni...Kuna mkeka mdau aliuushusha humu unadadavua kila kitu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc
Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Wekaa sreenshotsUle mkeka umezuiwa na moderators.mimi nilisave kwa mobile yangu.ila kwa Sasa haufunguki.sijui ni kwa Nini.😂😂😂😂😂
Post yangu imekuwa valied hadi leo tarehe 20/07/2022. Bado haina jibu sahihi la ikiwa watumishi watacheka, kunung'unika au kulia.Siku zimebaki mbili za uhakika ya tatu kitaeleweka yaani tarehe 23/07/2022.Ila kiwango cha Elimu nacho kitawafanya mtofautiane japo wote mpo daraja moja mfano DARAJA D,
Ila mimi hapo nazungumzia mwenye ngazi ya Cheti katika daraja hilo ambao BASIC SALARY 716,000/= tu.
Sent using Jamii Forums mobile
Hongera..Ila ujuwe the only diference ni hiyo 23.3%, the rest ni the same kwa woteJinga kabisa, it doesn’t work like that
Leo 20.07.2022Nazani kufikia kesho tarhe 19.07.2022
Mwezi huu huenda ikafika 25 maana Kuna ajira mpya.Mzigo bado [emoji52]
Mh....inaanza lin??Wajiandae kwa kilio cha Kusaga Meno cha UZEENI KIKOKOTOO
cha Asilimia 33