Watumishi wa Umma kucheka au kulia

50,000/= kwa E ndio nyongeza kwenye 'take home'.
 
50k itafanya nini mkuu na vitu vilivyo juu, yaani promo zote zile kumbe 50, ataoga matusi[emoji16][emoji16][emoji16]
Tambo zilianza na maneno ya jambo letu
tambo zikaendelea na waziri mkuu apokea report ya maswala ya nyongeza ya mishahara na kuiwasilisha kwa raisi
tambo zikaendelea kwa tangazo kutoka ikulu juu ya ingezeko la 23%

sasa leo tetesi ni ongezeko la 50, 000/

mkuu vuteni subra huwenda ni tetesi tu mzigo kamili unakuja
 
Acha kuwatia moyo watumishi mkuu
 
Hilo ndo ongezeko hakuna miujiza zaidi ya hiyo
 
Oya 55K?

Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?

Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake

This is totally robbery.
Barua ya ikulu ilisema 23.3% ni kwa wale wa kima Cha chini. Au kusoma hamjui?
 
Kuhusu kifo hakuna ambae alikua anajua Ila kwa kuwa hakuonekana hadharani ndio wakaanza kusema hivyo.
Hata 2019 ilitokea pia hivyo, au unataaka kusema Magufuli alikufa mara mbili 2019 na 2021??
Ni sawa na Leo mama Samia asionekane hadharani wiki mbili, unafikiri wale wapinzani wake wataanza kusemaje?
 
Kwa wanaolipwa na Azina wao hawaja kuswa na kikokotoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona maisha yao yanakuwa na misukosuko ya kiuchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napenda kujishughulisha kidogo

Mfano mwalim wa daraja F basc ni 1,235,000/=

Kama mnasema ongezeko ni 50 elfu baada ya makato it means ngezeko la jumla kabla ya makato ni 60 elfu

So basic yake ya 1,235,000/= sasa itasoma 1,295,000=/ je hili ni sawa na ongezeko la asilimia ngapi?

60000 ÷ 1235000 *100 = 4.8%

So hii nisawa? Maana kima cha chini anaongezeko la 23% kadri inavyo panda inapaswa kupungua je nikweli 18% zote zimekwapuliwa???
 
Watu wanajisemea tuu.
kama huna uhakika si unyamaze na hata kama unaouhakika si uweke chanzo cha uhakika huo??
 
Kuna mwalimu mmoja kutoka katika halmashauri X, Yeye aliajiriwa mwaka 2017 akianza na TGTS C, Mwezi mei mwaka huu kapanda daraja kutoka C hadi G ...Asee kuna mijitu ina bahati ile mbaya saiv Basic inasoma 1.6M na vi senti huko....japo Sijajua kama inaweza kumletea shida hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…