Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar
Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
Alipunguza payee asilimia ngapi?
Hivi 1% iliyopunguzwa ilileta athari gani kiuchumi ukicompare na ongezekeko la asilimia 35.1%, 20%, 15%, 10%, 5%, 3%, 2%,1% la mshahara?
Achana na kipindi kile la 23.3%,20%, 15%, 10% na 2%
Hapo kati kati aliweka increments na kila mwaka anaongeza.
Unajua jiwe wakati anaingia Usd1= ilikuwa sawasawa na shilingi ngapi?
Kwa Taarifa yako I used=1540 hadi 1600
Na kaondoka ilikuwa 1usd=2300/2400
Inflation kwa mwaka ilikuwa shilingi ngapi?
Bei ya sukari ilikuwa shilingi ngapi na wakati anafaliki ilikuwa shilingi ngapi?
Asilimia 1 payee, unadhani ilikuwa na msaada?
Unapunguza disposable income halafu unatuletea blah blah blah