Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
Kuna Mwalimu kanianbia kaongezewa laki.Yaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Camilo Cienfuegos tumechangamka baada ya kuuza ufuta, korosho na maharage, pesa ipo mfuko wa shati!