MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mimi na Watanzania" Tupo naye" wewe na nani? Usipende ku generalize mambo, sema uko naye wewe.
Kwani wewe Mhamiaji haramu au Mkimbizi?
Mimi na Watanzania" Tupo naye" wewe na nani? Usipende ku generalize mambo, sema uko naye wewe.
Nipo kaka angu bado naipambania Simba yangu..ni katika memba wachache tulobakia jukwaani kusimama na Simba yetu...almost nipo alone yaniii😁😁😁😁 japo giza jingi ila karibu kutakuchaDada upo...umepotea 😀😀 au hizi sajili zetu zinakuchanganya...
Mkuu sio laana kabisa. Hizi fursa lazima tushirikishane kwa ajili kuinua vipato vya watuAhahaha 🤣 🤣 🤣
Wazee wa kausha damu mna laana.
Ni wachawi, mtu akiingia kwenye mfumo hachomoki
😂😂😂 we jipe moyo tuNipo kaka angu bado naipambania Simba yangu..ni katika memba wachache tulobakia jukwaani kusimama na Simba yetu...almost nipo alone yaniii😁😁😁😁 japo giza jingi ila karibu kutakucha
Migwala tena.Oktoba tunatick
Sio dhambi😂😂😂 we jipe moyo tu
Inshallah dada yangu 😁Nipo kaka angu bado naipambania Simba yangu..ni katika memba wachache tulobakia jukwaani kusimama na Simba yetu...almost nipo alone yaniii😁😁😁😁 japo giza jingi ila karibu kutakucha
Umetukumbusha vyema mkuu. 🙏🙏🙏Alipunguza payee asilimia ngapi?
Hivi 1% iliyopunguzwa ilileta athari gani kiuchumi ukicompare na ongezekeko la asilimia 35.1%, 20%, 15%, 10%, 5%, 3%, 2%,1% la mshahara?
Achana na kipindi kile la 23.3%,20%, 15%, 10% na 2%
Hapo kati kati aliweka increments na kila mwaka anaongeza.
Unajua jiwe wakati anaingia Usd1= ilikuwa sawasawa na shilingi ngapi?
Kwa Taarifa yako I used=1540 hadi 1600
Na kaondoka ilikuwa 1usd=2300/2400
Inflation kwa mwaka ilikuwa shilingi ngapi?
Bei ya sukari ilikuwa shilingi ngapi na wakati anafaliki ilikuwa shilingi ngapi?
Asilimia 1 payee, unadhani ilikuwa na msaada?
Unapunguza disposable income halafu unatuletea blah blah blah
Hivi hilo punguzo la PAYE lilifanyika mwaka gani hadi hiyo take home ikaongezeka!?Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar
Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
Wanatofautiana,Hivi kwa wote imeongezwa 50 au inategemea salary scale ya mtu ..
Tupo wengi mbona (Mimi wewe na yule) tunatamba naye hadi 2035." Tupo naye" wewe na nani? Usipende ku generalize mambo, sema uko naye wewe.
Na watumishi wenzake" Tupo naye" wewe na nani? Usipende ku generalize mambo, sema uko naye wewe.
Waja hamna jema!Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar
Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
UsiwapangieYaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Pesa ya ice tropez 3 😹😹😹Yaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Hangover zikiisha wanarudi pale pale kwenye NRNE 😹Leo NRE sijui kama itasikika