Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Hahaa although si kubwa sana but si hapa kuliko kutokwua na kitu kabisa, kwa maisha ya kibongo yalivyo mtu lazima aone ajabYaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Tuache...Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba.
Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka.
Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!!
Leo kuna siri gani huko?
Ilipita miaka 6 bila nyongeza ya aina yoyote huku sababu zikiwa haziishi.Yaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Una hoja yafaa usikilizweYaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua
Hv n wapi hukoNaombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba.
Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka.
Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!!
Leo kuna siri gani huko?
Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollarIlipita miaka 6 bila nyongeza ya aina yoyote huku sababu zikiwa haziishi.
Sasa huyu kajitahidi, kaweza na kafanya, ulitaka iweje?
Tupo nae mpaka 2035
Alipunguza payee asilimia ngapi?Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar
Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
" Tupo naye" wewe na nani? Usipende ku generalize mambo, sema uko naye wewe.Tupo nae mpaka 2035
Ahahaha 🤣 🤣 🤣Mkuu uko mkoa na wilaya gani huko. Kama inafika tar hizi watumishi wanacheka? Ngoja tuwaletee kausha damu waje kuwachangamsha inaonekana kuna fursa uko.
Kuna jamaa huku huu mwezi wa 6 sijaona akicheka
Dada upo...umepotea 😀😀 au hizi sajili zetu zinakuchanganya...Leo NRE sijui kama itasikika