Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

Dada upo...umepotea 😀😀 au hizi sajili zetu zinakuchanganya...
Nipo kaka angu bado naipambania Simba yangu..ni katika memba wachache tulobakia jukwaani kusimama na Simba yetu...almost nipo alone yaniii😁😁😁😁 japo giza jingi ila karibu kutakucha
 
😂😂😂 we jipe moyo tu
 
Nipo kaka angu bado naipambania Simba yangu..ni katika memba wachache tulobakia jukwaani kusimama na Simba yetu...almost nipo alone yaniii😁😁😁😁 japo giza jingi ila karibu kutakucha
Inshallah dada yangu 😁
 
Umetukumbusha vyema mkuu. 🙏🙏🙏
 
Sisi wengine ambao hatuna kazi na wala hatufatilii bunge tunacomment nini?

Sio itani, kwenye mwendokasi watu wanachekelea chekelea tu, mi nabaki nashangaa tu na njaa yangu
 
Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar

Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
Hivi hilo punguzo la PAYE lilifanyika mwaka gani hadi hiyo take home ikaongezeka!?

Maana niliajiriwa mwanzoni mwa awamu ya jiwe na sikuwahi kuona take home ikiongezeka hadi alipoingia bi kizimkazi
 
Magufuli alipunguza Payee take home ikaongezeka, shilingi iliyumba kidogo dhidi ya usdollar

Unaongeza 50000, huku shilingi yetu ikiporomoka dhidi ya dollar na hapo hadi njiti za kuchokonolea meno zinaagizwa China, huu si wehu!
Waja hamna jema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…