Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,586 Jul 23, 2025 #41 Marco Polo said: Yaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua Click to expand... Kuna Mwalimu kanianbia kaongezewa laki. Camilo Cienfuegos tumechangamka baada ya kuuza ufuta, korosho na maharage, pesa ipo mfuko wa shati!
Marco Polo said: Yaan unaongezewa 50000 kwa mwezi mzima mtu mzima unakenua meno nje nje kama ngiri!! Hii ni aibu sana unajidhalilisha bila kujijua Click to expand... Kuna Mwalimu kanianbia kaongezewa laki. Camilo Cienfuegos tumechangamka baada ya kuuza ufuta, korosho na maharage, pesa ipo mfuko wa shati!
Z Zinn JF-Expert Member Joined Dec 29, 2022 Posts 3,034 Reaction score 3,287 Jul 26, 2025 #42 K MWANAHARAMU said: Ilipita miaka 6 bila nyongeza ya aina yoyote huku sababu zikiwa haziishi. Sasa huyu kajitahidi, kaweza na kafanya, ulitaka iweje? Tupo nae mpaka 2035 Click to expand... Katiba inasema mwisho mwaka 2030. Baada ya hapo kikatiba haruhusiwi tena kugombea
K MWANAHARAMU said: Ilipita miaka 6 bila nyongeza ya aina yoyote huku sababu zikiwa haziishi. Sasa huyu kajitahidi, kaweza na kafanya, ulitaka iweje? Tupo nae mpaka 2035 Click to expand... Katiba inasema mwisho mwaka 2030. Baada ya hapo kikatiba haruhusiwi tena kugombea
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 5,350 Reaction score 13,622 Jul 26, 2025 #43 Zinn said: K Katiba inasema mwisho mwaka 2030. Baada ya hapo kikatiba haruhusiwi tena kugombea Click to expand... Lakini kipindi Cha jiwe mlitaka awe Raisi maisha?
Zinn said: K Katiba inasema mwisho mwaka 2030. Baada ya hapo kikatiba haruhusiwi tena kugombea Click to expand... Lakini kipindi Cha jiwe mlitaka awe Raisi maisha?
Z Zinn JF-Expert Member Joined Dec 29, 2022 Posts 3,034 Reaction score 3,287 Jul 26, 2025 #44 N MWANAHARAMU said: Lakini kipindi Cha kiwe mlitaka awe Raisi maisha? Click to expand... No
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 5,350 Reaction score 13,622 Jul 26, 2025 #45 Zinn said: N No Click to expand... No nini Sasa Yalizungumzwa bungeni, wengine wakasema tutamlazimisha. Akajipa uongozi wa kimalaika, umesahau? Tumwache Raisi wa Sasa apige kazi
Zinn said: N No Click to expand... No nini Sasa Yalizungumzwa bungeni, wengine wakasema tutamlazimisha. Akajipa uongozi wa kimalaika, umesahau? Tumwache Raisi wa Sasa apige kazi