Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Kwani nyie watumishi wa umma si serikali iliyopita iliwaboreshea mazingira ya kazi na maslahi au mnataka nini tena ?
 
Nadhani awamu hii ya pili ni awamu ngumu zaidi ila inabidi watumishi wote wanaolipwa kwa kodi ya Watanzania waumie kwa usawa.

Kuna watu wanaoishi kama Peponi kwa kodi za wananchi wote hao kwa kweli sasa ni zamu yao kushiriki machungu ya kuwa na vipato vya kati na sio kuwaziei wenzao kama vile ni wao ni mabwana na wengine ni watumwa .
Iwe hivi tunakupa Uwaziri lakini Usafiri utatumia Suzuki. Ukitaka gari la kifahari utanunua mwenyewe kama watumishi wengine wanavyonunya Ist kwa mikopo.

Tunakuoa Uteuzi lakini mshahara wako ni kulingana na Elimu yako kama watumishi wengine wa umma kama unakubali sawa kama hutaki wapo wengine wenye Uchungu na nchi hii.

Wabunge ni zamu yao sasa kuonyesha uzalendo kwa kupunguza posho zao na mishahara yao ili serikali isikwame kwenye suala la maendeleo.
Kumlipa mbunge mil. 12 kwa mwezi ni kupaoteza fedha za umma kwani kwa miaka mitano tumeona Wakuu wa Wilaya wakifanya kazi kubwa sana kuliko wabunge wa vyama vyote. Kuna wakati niliwaza kuwa hakuna hata haja ya kuwa na wabunge na nchi itasonga mbele kwa kasi zaidi.
Kifupi ifikie mahali kwenye umaskini wa nchi hii na ujenzi wa miundo mbinu kwa ajili ya baadae kila MTU ashiriki kujenga nchi yake kizalendo . Mshahara wa Mwajiriwa ndani ya nchi hii usizidi Mil. 3 kwa mwezi. Yaani laki moja kwa siku.
Kama MTU hataki basi ahame nchi. Na kwa sasa dunia nzima Kuna tatizo la ajira kwa hiyo hakuna tena Yale mambo ya kubembelezana wakati wasomi wapo kila mahali wanatamani hata kujitolea kufanya kazi bure . Wote waonyeshe uzalendo sio kama usanii unaofanyika kwa watawala kuwa mabilionea huku watawaliwa na watumishi wa umma wakiishi kama watumwa kwenye nchi moja na kodi ndizo zinazowalipa. Anayona vipi akafanye biashara zake sio ofisi za umma. Bado nchi yetu ni Changa.

Wapinzani walikowea sana walipokua Bungeni kushindwa kujenga hoja za kutetea maslahi ya wengi badala yake wakawa wanapinga kila kitu isipokuwa suala la maslahi ya wanasiasa na vyama vyao waliungana na CCM kuwanyonya walalahoi.
Sasa wamepigwa chini wote wanalialia na mtaani hakukaliki . Sio muda mrefu watatambaa kwenda CcM kuomba poo ili nao waneemeke.
Dawa iliyosalia ni kupunguza maslahi kwa watawala na wanasiasa ili tuone nani mzalendo na nani mzaa magendo ndani ya nchi hii.

Sasa tuondoe ule msemo ,'Tanzania itajengwa na wanye moyo na kuliwa na wenye meno.'
 
Tatizo mlilo nalo ni kuwaaminisha wakulima na wafugajia kuwa wao ndio maskini wa nchi hii.
Aibu kubwa sana ndio maana Afrika hatuendelei.

Kuna wafugaji wanamiliki Ng'ombe mpaka Elfu kumi. Kwa bei ya chini kabisa Sh lakini tano ni kuwa mtu huyo anamiliki bil. 5.
Lakini anakuja Katibu kata anayepewa usafiri wa pikipiki na serikali kwa sababu hana uwezo wa kununua ya kwake mwenyewe na kuweka mafuta anamwambia yule mfugaji wewe ni maskini ,mkuu wa wilaya akija mwombe msaada wa Bajaji ya Hospitali na kisima cha maji.
Waafrika Mungu anatushangaa sana tunavyotawaliwa na watu wabinafsi wanaowapa watu umaskini kwa makusudi ili wazidi kuwatawala kwa hofu kubwa.

Kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania mishahara ya watumishi wa umma inawafanya wawe maskini wa kubwa sana. Wengi wanaishi kwa mikopo na rushwa na ujanja ujanja mwingi .
Jiulize ni kwa nini wanasiasa wao ni mabilionea wakati wao nao wanalipwa na serikali kupitia kodi za wananchi? Kwa nini hapakuwa na uwiano kwenye mishahara ili wote wawe na maisha standard na kuweza kukuza soko la mkulima.
Wanunuzi wa kubwa wa mazo ya wakulima direct ni watumishi wa chini wenye vipato vidogo na wafanyabiashara wadogowadogo ndio maana Soko la mazao kubwa lipo Buguruni,Tandale,Mabibo,Kariakoo n.k.
Wale wenye uteuzi na mishahara minono soko lao ni Mlimani City wananunua vyakula kutoka Afrika kusini na China.

Tubadili mtizamo na kuona kuwa fursa kubwa IPO kwa Wakulima na wafugaji na ndio matajiri ili vijana wengi wajiajiri kupitia kilimo na ufugaji . Haya mambo ya Kuwaita wafugaji kuwa eti ni maskini ni kuliangamiza taifa kwa vijana kukimbilia mijini kutafuta ajira kwa wahindi wakati vijijini kuna fursa kubwa za kilimo na ufugaj.
 
Hujui unachokiongea wewe
 
Mimi ninachojua Watumishi wengi wa umma walishagoma muda mrefu ila ni ''Mgomo Baridi''

Hawafanyi kazi kwa moyo ni tia maji tia maji tu kuanzia kwa Waalimu

Wao wanasubiri tu mishahara na matokeo yake tunayaona kutoka huko sekta za umma
 
Ma-ku kwel wew kwahyo kama ni laki tano ndo awafanye anavyo taka sio,em kaa na fikiri hao watumidhi wanaishije hyo miaka mi5 af ukute amejichanganya kakopa kaenda kujenga nyumba mshahara 145000 kwa mwez yaan inauma saaana
 
Hapana; miaka 7 [emoji36][emoji16][emoji23]
 
Afadhali watumishi wa umma mngekufa muishe wote maana nyie mnatumika kutupitisha kwenye huu uvuli wa mauti. . Mavi yenu yananuka, kenge nyie.[emoji23][emoji23]
 
Tatizo ukiishi kwa kutegemea mshahara badala ya kujiongeza ufanye na kazi za ziada ili kipato kiwe kikubwa lazima tu haya yakupate hata ukiongezwa mshahara utaenda kuukopea halagu unsbaki mdogo mchawi ni fikra zetu

sent from HUAWEI
 
Mi ni mtumishi wa umma mwenye TGS C2.

Ila kiuhalali ilipaswa ni TGS E.

Ila kwa kuwa mwenyekiti wako ni JIWE lisilosikia.

Kanidhulumu maadaraja yangu na increment yangu.

Mwambie Mungu anamuona.

#YNWA
Msimshirikishe Mungu kwenye upumbavu wenu.
 
Acha kupotosha Rais Magufuli amewajali Sana watumishi wake ukiangalia kwanza ameweka nidham ya kazi
Pia ameweka akitoa mishahara ndani ya wakati ukilinganisha na zamani mambo sasa ni tofauti.
Vyama vya walimu wanasikilizwa kwa Hali ya juu na mawazo yao yanatendewa Kazi.
Ajira kwa walimu zimetolewa na mara ya mwisho ziliahidiwa ajira mil 13
 
Umeelewa nilicho andika mama?
Soma tena..
1. Maadaraja yako wapi?
2. Nyongeza iko wapi?
3. Kwanini skate ufadhili alioukuta?

HEBU SOMA TENA.

#YNWA
 
UONGO UONGO UONGO, ACHA KUUPOTOSHA UMMA.
 
Un
We ni mtumishi wa Umma?
1. Lini aliongeza mishahara?
2. Lini alipandisha watumishi wa 2014 maadaraja?
3. Lini......

#YNWA
Suala sio lini kapandisha mishahara?
Suala ni kuwadanganya watu kwamba wajiandae kuumia tena, huo ni uongo na uzandiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…