Watumishi wa Umma tupo utumwani? Kwanini nalipa kodi kubwa hivi?

Watumishi wa Umma tupo utumwani? Kwanini nalipa kodi kubwa hivi?

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,325
Reaction score
7,533
Habari wana Jamiiforums.

Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?

Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?

Screenshot_20220919-144710.jpg
Screenshot_20220919-213750~5.jpg
 
Pamoja na yote naipenda kazi yangu kwakuwa inanifanya niitwe Raisi wa familia yangu nikiingia tu wote wanasimama baba kaingia na kaja na snikers Milo yoghurt peanut butter nido halua tende mkate cake mchele ngano kifurushi cha azam kishalipwa na whiskey lenye shingo ndefu lipo ndani nk
 
Habari wana Jamiiforums.

Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?

Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
View attachment 2361570
Kwa mshahara wako huo wa mil 2.4 ulitegemea PAYE ulipe kiasi gani?
 
MShahara wako ni bei gani mkuu. Isijekuwa unapokea milioni 21 kisha unalalamika kukatwa laki 5.

Onyesha mapato na makato ili tujue tunalia pamoja na wewe au serekali iko fair tu
Sio kubwa ni ndogo sana.
Screenshot_20220919-144710.jpg
 
Ni wa kawaida sana
MShahara wako ni bei gani mkuu. Isijekuwa unapokea milioni 21 kisha unalalamika kukatwa laki 5.

Onyesha mapato na makato ili tujue tunalia pamoja na wewe au serekali iko fair tu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni kweli kabisa lakini kuna hela ya mkopo amevuta hapo ngoja tumpigie hesabu kabisa..maana hawezi chukuanmkopo halafu asikie uchungu wa PAYE...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom