Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Unafahamu hesabu ya PAYE inapigwa vipi?Mshahara wangu upo kundi la kima cha chini.
Unafahamu hesabu ya PAYE inapigwa vipi?Mshahara wangu upo kundi la kima cha chini.
Rizika na mshahara wako 2.4 per month still analalamika mitandaoni?Ukipiga hapo anapata Tshs 2,442,000 Basic Salary...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapa ni WhatsApp japo wakati nataka kufuta takehome nilitumia WhatsApp na simu yangu ina Whatsapp mbili.Mbona hizo picha zinaonesha umetumiwa kwenye Whatsap tena tarehe 19-09-2022
Hao Whatsap ndio wamekutumia salary slip..?? [emoji23][emoji23]
Kwa makato hayo ya PAYE ya zaidi ya laki tano, hapo basic salary ni zaidi ya milioni mbili mkuuu... Halafu wewe unafanya kazi na yule mzee wa TOZO!!! Isije kuwa nyie ndiyo wakokotoaji wa TOZO aiseeMShahara wako ni bei gani mkuu. Isijekuwa unapokea milioni 21 kisha unalalamika kukatwa laki 5.
Onyesha mapato na makato ili tujue tunalia pamoja na wewe au serekali iko fair tu
Huyo pia anaweza kuwa ni mwalimu!! Mwalimu akifikia daraja la H huwa anapioga mshahara mrefu kuliko huo!! Kuna watu hawawezi kuamini kuwa huyu anaweza kuwa mwalimu, maana wamekariri kuwa mshahara wa mwalimu ni mdogo tu siku zote wakati siyo kabisa!!Kuna walimu wanapokea laki moja ww analialia nini? shnz
Basi Tanzania tumeifunika Africa kwa mishahara minono. Mkuu unauhakika lakini?
Mkuu waulize watu wa Private Companies kodi wanazokatwa. Yaani mtu anakatwa kodi hela ya nauli. Nauli inajulikana ya Bajaj shilingi 700 na Mtumishi anapewa hiyo lakini bado anakatwa kodi !
Huyo pia anaweza kuwa ni mwalimu!! Mwalimu akifikia daraja la H huwa anapioga mshahara mrefu kuliko huo!! Kuna watu hawawezi kuamini kuwa huyu anaweza kuwa mwalimu, maana wamekariri kuwa mshahara wa mwalimu ni mdogo tu siku zote wakati siyo kabisa!!
Safi sana! Nakumbushia kuwa Kuna kina cha chini kinachotambulika na serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na kilitangazwa rasmi.Hapa kazini kuna wenye Basic ya 8mil kwahio mimi mshahara wangu ni kima cha chini.
We jamaa mnafiki sanaWatumishi wa serikali hawatakaa waridhike na mishahara sababu ya mikopo
Ona huyu ana mshahara mzuri ambapo amekopa mkopo wenye makato yasiyopungua milioni 1 na làki tano kwa mwezi.
Ni mkopo ulioshiba kabisa huo na hakutakiwa kulalamikia kodi kama alipeleka kwenye uwekezaji unaozalisha
Yawezekana kanunua magari ya kifahàri kujifanya ana hadhi , sasa ile standard ambayo serikali ilitaka aishi kwa basic aliyowekewa anashindwa kuiishi kwani take home sasa hivi ni sawa na mwalimu huku gari alilonuñua nalo linamtafuna kwa garama za mafuta na vipuri sasa anapiga kelele kwa makosa yake ya hesabu mbovu za uchumi
Unatakiwa uache kazi ukajiajiri ili na wewe ulipe kodi ndogoHabari wana Jamiiforums.
Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?
Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
View attachment 2361622View attachment 2362029