Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,122
Umechukua mkopo pia either bank au helsb bado wanakula chao
Kuna mkopo pia hapo...Duh ndo ibaki laki 874,400 heeee Toka milion 2
Kukujibu kwamba ni halali au la inabidi utaje Basic. Maana isije ikawa unalipa hiyo laki 5 kwenye basic ya 10MHabari wana Jamiiforums.
Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?
Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
Basic iko hapo puchani.Kukujibu kwamba ni halali au la inabidi utaje Basic. Maana isije ikawa unalipa hiyo laki 5 kwenye basic ya 10M
Unakatwa paye analipwa mshahara mtu mwengine[emoji3]
Basic iko hapo puchani.
Hebu tazama vizuri
basic 2 .3m inamana umekatwa paye 5.1k na mazagazaga mengine wastani umekatwa 1.6m na kitu inaonyesha wenye mikopo yao wamekula chao ndo mana umeliwa umebaki na 8.k hiyondo haki yakoHabari wana Jamiiforums.
Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?
Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
Kachukua mkopo na mshahara wako?nonsenseWatumishi wa serikali hawatakaa waridhike na mishahara sababu ya mikopo
Ona huyu ana mshahara mzuri ambapo amekopa mkopo wenye makato yasiyopungua milioni 1 na làki tano kwa mwezi.
Ni mkopo ulioshiba kabisa huo na hakutakiwa kulalamikia kodi kama alipeleka kwenye uwekezaji unaozalisha
Yawezekana kanunua magari ya kifahàri kujifanya ana hadhi , sasa ile standard ambayo serikali ilitaka aishi kwa basic aliyowekewa anashindwa kuiishi kwani take home sasa hivi ni sawa na mwalimu huku gari alilonuñua nalo linamtafuna kwa garama za mafuta na vipuri sasa anapiga kelele kwa makosa yake ya hesabu mbovu za uchumi
Mkuu waulize watu wa Private Companies kodi wanazokatwa. Yaani mtu anakatwa kodi hela ya nauli. Nauli inajulikana ya Bajaj shilingi 700 na Mtumishi anapewa hiyo lakini bado anakatwa kodi !Mshahara wangu upo kundi la kima cha chini.
Mwambie aache kupiga kelele kama mtoto kwa makòsa yake mwenyewe. Mshahara sio wa kutegemea ni daraja la kukupa mtaji. Kama hutojiongeza utakuwà unapiģa kelele kila siku mara kodi, maraba utoshi . Kumbuka serikalì hutumia mfumo wa Clawback clause . Usipotumia akili mu kichwa muda wa kustaafu utafika bado unalalamika na hujafanya la maanaKachukua mkopo na mshahara wako?nonsense