Ukipiga hapo anapata Tshs 2,442,000 Basic Salary...MShahara wako ni bei gani mkuu. Isijekuwa unapokea milioni 21 kisha unalalamika kukatwa laki 5.
Onyesha mapato na makato ili tujue tunalia pamoja na wewe au serekali iko fair tu
SafiMShahara wako ni bei gani mkuu. Isijekuwa unapokea milioni 21 kisha unalalamika kukatwa laki 5.
Onyesha mapato na makato ili tujue tunalia pamoja na wewe au serekali iko fair tu
Ni kweli kabisa lakini kuna hela ya mkopo amevuta hapo ngoja tumpigie hesabu kabisa..maana hawezi chukuanmkopo halafu asikie uchungu wa PAYE...😀😀😀Ukipiga hapo anapata Tshs 2,442,000 Basic Salary...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Duh ndo ibaki laki 874,400 heeee Toka milion 2Ukipiga hapo anapata Tshs 2,442,000 Basic Salary...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwa mshahara wako huo wa mil 2.4 ulitegemea PAYE ulipe kiasi gani?Habari wana Jamiiforums.
Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?
Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
View attachment 2361570
Hongera kwa kukatwa kodi mungu atakuzidishia pengine wamekuepusha na u.t.i Kwenye laki tano hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Atakuwa na mkopo Bank huyo.Duh ndo ibaki laki 874,400 heeee Toka milion 2