SI KWELI Watumishi wa Umma waliofukuzwa kazi kimakosa 2018-2023 kurudishwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Waongeze muda, wana haraka gani. Walipofukuzwa walienda kuanza maisha mengine, wengi walienda vijijini kuendelea na kilimo, wengine migodini, wengine visiwani kuvua samaki.

Watoe miezi sita hadi mwaka tangazo liwafikie wote, na waandae nyaraka. Siku 15 hazitoshi, waache urasimu.
 
Hili Tangazo ni la mwaka 2023.
Elewa nilichokomenti na sio hili tangazo nililoweka.


Watanzania tujifunze kuelewa vitu vidogo vidogo kwa wepesi kama hivi.

Mimi nimesema huyo Mary ni kweli yupo hiyo ofisi na hizo namba za mawasiliano ni za kweli mpaka hizo nukushi.

Sijahakiki taarifa kupitia website husika hapo ndio unaweza kupitia na wewe kwenye website ya sekretarieti ya ajira au utumishi kujua kama hili tangazo ni fake au la.
 
JamiiForums imekua jukwaa la watu wajinga na wenye upeo mdogo sana wa kufikiri.
 
Uandishi una makosa mengi sana. Hilo tu linatosha kuthibitisha kuwa ni fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…