SI KWELI Watumishi wa Umma waliofukuzwa kazi kimakosa 2018-2023 kurudishwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Nimejaribu kuhakiki jina la Mary naona ni la kweli na hata namba za ofisi tajwa ni sahihi pia.
Kwa akili hizi ,CCM itatawala sana

Kama member wa Jf unaingia mkenge kirahisi hivi,habari gani kwa member wa Facebook,insta na TikTok?

Ngoja na Mimi niwe tapeli tu kama watu wenyewe ndio hawa
 
Kuwa na adabu Dada watumishi serikalini sio walimu tu siasa zisikufanye usiwe na utu Wala usihesimu taaluma na kazi za wengine
sawa mama, ila nionyeshe wapi nilipo dharau hao watumishi??.

zaidi ya kutoa reference ya mpwayungu, ambae huwa ana wa attack hao walimu!
 
Sio sawa kuwaita walimu zero brain kwanza Hilo tangazo lenyewe la kitapeli
Kaka kwa vile ume acha matusi, acha niku eleweshe nime sema zero brain Kama kina mpwayungu.

rejea kauli ya kuwa daka "maboya", huwa huoni baadhi ya waalimu wenye akili chache wanao vaaga mi kofia na kubeba mabango ya kijani siku za kampeni??

Kisa tu wame pewa vitenge na elfu kadhaa??, nina wakubwa zangu ni waalimu, hivyo situkani hovyo.
 
Mkuu sometimes mamlaka zinawashindikiza na muda mwingine wanapewa posho kidogo watafanya Nini?
 
Serikali ya Mama haitaki mtu aonewe ila ndani ya utumishi wa umma kuna baadhi ya viongozi wenye dhamana wanawaonea sana walio chini hadi kufikia kufukuzwa kazi au kusimamishwa au hata kushushwa kwasababu tu ya MAJUNGU, FITINA NA UNAFIKI. Mambo hayo ndio yametqmalaki huko.
Menejimenti inapaswa iwalinde watumishi wote bila ubaguzi haswa walio chini.
Pongezi kwao.
 
Mkuu sometimes mamlaka zinawashindikiza na muda mwingine wanapewa posho kidogo watafanya Nini?
yaani mamlaka ambayo haya oni sababu ya kuku boreshea maslahi, halafu siku ya kampeni uka pigwe jua kisa laki au hata 1m ya kila Baada ya miaka 5 we una oa ni sawa??.

mki sema hatu endi mpaka uboreshe hapa na hapaz wata wafuta kazi wote??
 
Kwa akili hizi ,CCM itatawala sana

Kama member wa Jf unaingia mkenge kirahisi hivi,habari gani kwa member wa Facebook,insta na TikTok?

Ngoja na Mimi niwe tapeli tu kama watu wenyewe ndio hawa
Juha kweli wewe.
Sasa na wewe ndio unajiona mjanja kweli?

Muwe mnaelewa kile kilichoandikwa basi.
 
Naona safari hii Kampeni za 2025 zimeanza mapema!
 
"Kwa wale watakao ona kimya. "

Mbona tangazo ni kama limeandaliwa na wahuni? Serikali huwa inatoa mrejesho na sio kukaa kimya. Na wana njia zao za kurudisha mrejesho
Wametoa na WhatsApp number haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…