Sasa wewe ndiyo GREAT THINKER, wengine wanaandika UTOPOLO tu....hicho ndicho kitu ambacho serikali wanatakiwa wakitumie kuwapata hao watumishi na siyo kutumia Umbea umbea kwenye issue sensitive kama hiyo.Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUU
Makao Makuu wana peleka Ikulu (Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma), nao wanashusha UTUMISHI
...THE REST IS HISTORY
Unasema?Balaa sio dogo... lakini hili jambo ni kweli. Mara ya kwanza nilijua ni mshahara tu wa July, lakini habari za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai, WAMEFUKUZWA kabisa na barua walizopewa ni za kuwaondoa kwenye payroll.
Sijui kuhusu utaratibu gani utatumika ku-justify lakini ndio hivyo tena.
duh!Balaa sio dogo... lakini hili jambo ni kweli. Mara ya kwanza nilijua ni mshahara tu wa July, lakini habari za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai, WAMEFUKUZWA kabisa na barua walizopewa ni za kuwaondoa kwenye payroll.
Sijui kuhusu utaratibu gani utatumika ku-justify lakini ndio hivyo tena.
Hahaahaa....Mkuu take it from me.... nyepesi nyepesa nilizopata ni kwamba haijalishi umetoboa au umechemka, unafutwa
Mazima mkuu... na replacement zao zinatafutwa, mimi nimeshangaa sana, lakini ndio hivyo. Ngoja tuone mchezo unaishia wapi. Hata kama MaCCM siyapendi, haki ni muhimu kwa kila Mtanzania.Unasema?
Kwamba wanaondolewa mazima kwenye payroll ama ni mshahara wa July peke yake?
Hahaaahaa...Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUU
Makao Makuu wana peleka Ikulu (Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma), nao wanashusha UTUMISHI
...THE REST IS HISTORY
Imekuja amri au waraka wa kufanya hivyo mkuu?Mazima mkuu... na replacement zao zinatafutwa, mimi nimeshangaa sana, lakini ndio hivyo. Ngoja tuone mchezo unaishia wapi. Hata kama MaCCM siyapendi, haki ni muhimu kwa kila Mtanzania.
Samahani, kwani utaratibu ukoje?Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Haileweki but wanakatwa... naona mfalme anataka aendeleze yale mambo aliyoyafanya kwa wateuliwa wake, sasa sijui kama sheria za utumishi zinaruhusu au ndio ubabe. Maana kama mtu kaomba likizo bila malipo, unasimamisha mshahara sio kumtoa kwenye payrollImekuja amri au waraka wa kufanya hivyo mkuu?
Mbona hatari?
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Jam
Jamani taratibu zinamruhusu kutia nia na atatakiwa kujiuzuru (kwa walio katika nafasi za kuteuliwa - kama sikosei)/kuomba likizo ya bila malipo (kwa watumishi kama walimu) pale atakapopita kwenye kura za maoni.
Ya kaisari apewe kaisari.....Sheria na kanuni za utumishi siyo binaadamu ndiyo sababu hazina ubinaadamu.
Tamaa na madaraka haviendi pamojaUmekatwa kwenye kura za maoni eeeh
Hahahaaaahaaa kwan wewe ni mataga??? Unafikiri ni nani aliyeratibu hili zoezi!?Kiutaratibu walipaswa kuomba likizo ya bila malipo na kupata ruhusa.
Sasa kurudi kazini inabidi waombe tena kurudishwa Kazini na watarudishwa kama nafasi itakuwepo. But wao likizo yao yabila malipo Imekua fupi sana sidhani Kama nafasi zao zitakua zimejazwa hivyo watarudishwa kazini haraka.
Hivi kuna uhusiano gani kati ya ujinga na uumini wa hiki chama? Yaani unamuomba Rais wa Nchi afanye kwa ajili ya chama cha siasa? Pole sana kwa kupata 0 kwenye kura ya maoni, suala la mshahara lipo pale paleZipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28...
Lakini taarifa tulizonazo ni kwamba nafasi zao zimejazwa. Sasa wapate mishahara kutoka wapi. Jambo la maana kwao wafuatilie mafao yao ya kuacha kazi kwa taarifa kadri ya mikataba yao ya utumishi. Tusimtwishe mzigo rais wetu ambao hahumhusu.Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28...