Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUU

Makao Makuu wana peleka Ikulu (Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma), nao wanashusha UTUMISHI

...THE REST IS HISTORY
Sasa wewe ndiyo GREAT THINKER, wengine wanaandika UTOPOLO tu....hicho ndicho kitu ambacho serikali wanatakiwa wakitumie kuwapata hao watumishi na siyo kutumia Umbea umbea kwenye issue sensitive kama hiyo.

Barikiwa sana kiongozi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Balaa sio dogo... lakini hili jambo ni kweli. Mara ya kwanza nilijua ni mshahara tu wa July, lakini habari za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai, WAMEFUKUZWA kabisa na barua walizopewa ni za kuwaondoa kwenye payroll.

Sijui kuhusu utaratibu gani utatumika ku-justify lakini ndio hivyo tena.
Unasema?

Kwamba wanaondolewa mazima kwenye payroll ama ni mshahara wa July peke yake?
 
duh!
 
Unasema?

Kwamba wanaondolewa mazima kwenye payroll ama ni mshahara wa July peke yake?
Mazima mkuu... na replacement zao zinatafutwa, mimi nimeshangaa sana, lakini ndio hivyo. Ngoja tuone mchezo unaishia wapi. Hata kama MaCCM siyapendi, haki ni muhimu kwa kila Mtanzania.
 
Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUU

Makao Makuu wana peleka Ikulu (Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma), nao wanashusha UTUMISHI

...THE REST IS HISTORY
Hahaaahaa...

Wazee naona mmesimamia kucha hii ishu.
Mshahara wote watalipwa.
 
Na kwenye zoezi hili mtumishi atakayebainika alitia nia upinzani anaweza kufukuzwa kazi kabisa
 
Mazima mkuu... na replacement zao zinatafutwa, mimi nimeshangaa sana, lakini ndio hivyo. Ngoja tuone mchezo unaishia wapi. Hata kama MaCCM siyapendi, haki ni muhimu kwa kila Mtanzania.
Imekuja amri au waraka wa kufanya hivyo mkuu?

Mbona hatari?
 
Iko barua rasmi yenye hizo taarifa. Ukiona hivyo ujue kuwa Wizara ina baraka zote. Mapato ni lazima kila upande. Walikuwa busy na kampeni sasa alipwe kivipi? Sasa ukute umeambulia Yai la Mwewe na pesa ulitumia kampeni na sasa mshahara huna. Patamu hapo
 
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.

Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Samahani, kwani utaratibu ukoje?
 
Imekuja amri au waraka wa kufanya hivyo mkuu?

Mbona hatari?
Haileweki but wanakatwa... naona mfalme anataka aendeleze yale mambo aliyoyafanya kwa wateuliwa wake, sasa sijui kama sheria za utumishi zinaruhusu au ndio ubabe. Maana kama mtu kaomba likizo bila malipo, unasimamisha mshahara sio kumtoa kwenye payroll
 
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.

Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...

Waliondoka wakaenda jihusisha na siasa kitu ambacho hakiruhusiwi kwa watumishi wa umma, washukuru walipewa likizo ya mwezi mmoja circular iliyopita wangekoma utumishi kabisa.

Weka siasa pembeni.
 
Jam

Jamani taratibu zinamruhusu kutia nia na atatakiwa kujiuzuru (kwa walio katika nafasi za kuteuliwa - kama sikosei)/kuomba likizo ya bila malipo (kwa watumishi kama walimu) pale atakapopita kwenye kura za maoni.

Double standards hizo ...au kwakua anatoka na binti yake ???? wateule wote walioomba kutia nia tumeona nafasi zao zikizibwa haraka sana kuazia DED,DAS,DC ,RC na wakurugenzi wa mashirka ya umma.

What so special with "mkwe"? hadi leo nafasi yake haijatenguliwa. Katika busara ya kawaida ningetegemea waliomba ruhusa na kukubaliwa wote wawe likizo na ikiwa wamekosa warudi kazini kama huyu.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Kiutaratibu walipaswa kuomba likizo ya bila malipo na kupata ruhusa. Sasa kurudi kazini inabidi waombe tena kurudishwa Kazini na watarudishwa kama nafasi itakuwepo.

But wao likizo yao yabila malipo Imekua fupi sana sidhani Kama nafasi zao zitakua zimejazwa hivyo watarudishwa kazini haraka.
 
Kiutaratibu walipaswa kuomba likizo ya bila malipo na kupata ruhusa.
Sasa kurudi kazini inabidi waombe tena kurudishwa Kazini na watarudishwa kama nafasi itakuwepo. But wao likizo yao yabila malipo Imekua fupi sana sidhani Kama nafasi zao zitakua zimejazwa hivyo watarudishwa kazini haraka.
Hahahaaaahaaa kwan wewe ni mataga??? Unafikiri ni nani aliyeratibu hili zoezi!?
 
Hii inaitwa kukosa bara ba pwani
IMG_20200721_205921.jpg
IMG_20200721_061719.jpg
 
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28...
Hivi kuna uhusiano gani kati ya ujinga na uumini wa hiki chama? Yaani unamuomba Rais wa Nchi afanye kwa ajili ya chama cha siasa? Pole sana kwa kupata 0 kwenye kura ya maoni, suala la mshahara lipo pale pale
 
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28...
Lakini taarifa tulizonazo ni kwamba nafasi zao zimejazwa. Sasa wapate mishahara kutoka wapi. Jambo la maana kwao wafuatilie mafao yao ya kuacha kazi kwa taarifa kadri ya mikataba yao ya utumishi. Tusimtwishe mzigo rais wetu ambao hahumhusu.
 
Back
Top Bottom