COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Sasa wewe ndiyo GREAT THINKER, wengine wanaandika UTOPOLO tu....hicho ndicho kitu ambacho serikali wanatakiwa wakitumie kuwapata hao watumishi na siyo kutumia Umbea umbea kwenye issue sensitive kama hiyo.Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUU
Makao Makuu wana peleka Ikulu (Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma), nao wanashusha UTUMISHI
...THE REST IS HISTORY
Barikiwa sana kiongozi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]