Mkuu, ndiyo tayari wameshatia nia .je hadi Leo hii umesiikia kusitishwa mshahara kwa mtumishi yeyote ndani ya nchi yetu Tanzania.Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Mkuu kwani.sifa kuwania ubunge ni zipi? Kama mtu ndoto yake siku moja kuwa MP.Kuna tangazo linazunguka juu ya kutolipwa mishahara kwa wafanyakazi wa umma ambao walichukua fomu za kuomba kupata ridhaa kutokak chama cha mapinduzi ili wapeperushe bendera ya kuwania nafasi za ubunge.
Binafsi naunga mkono katazo la kutolipwa mshahara wa mwezi huu wa julai, ila kwa mtazamo wangu hawa wangefukuzwa na kufutwa kabisa katika utumishi wa umma..
Uyu dogo aligombea kimya kimya,Simliambiwa mkitaka kugombea acheni kazi .......though naona kuna vijana kama mkurugenzi wa dodoma hawajasimamishwa kazi
Hayo ni mawazo yako,sheria haisemi hivyo!View attachment 1514239
View attachment 1514238
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28...
Unajua maana umma ni nini?Mawaziri sio watumishi wa umma, ni wafanyakazi wa Serikali
Mimi mwenyewe ni mtumishi wa umma na ninajua. Watumishi wa umma ni wale walio chini ya sheria ya public service act. Kumbuka Wapo watumishi wengi tu ambao hawapo chini ya sheria hiyo ikiwemo polisi JWTZ n.kUnajua maana umma ni nini?
Umma ni nini?Mimi mwenyewe ni mtumishi wa umma na ninajua. Watumishi wa umma ni wale walio chini ya sheria ya public service act. Kumbuka polisi, JWTZ hawapo chini ya sheria hii. Wapo watumishi wengi tu ambao hawapo chini ya sheria hiyo
Umma ina maana yake kilugha lkn neno "watumishi wa umma" lina maana yake pia kisheria kwa mujibu wa public service act. Kwa lugha nyepesi ni kuwa Watumishi wa umma ni wale walio chini ya sheria ya public service act. Kumbuka Wapo watumishi wengi tu ambao hawapo chini ya sheria hiyo ikiwemo polisi JWTZ n.kUmma ni nini?
Nimeandika tu kuwasemea mkuu. Mimi nilishaacha siku nyingi kutokana na manyanyaso!Nyie wafanyakazi si mna Chama chenu.. kwa nini msiitishe mgomo nchi nzima kupinga hizo mnaziita dhuluma.
Sasa kama watu hawakuwa kazini kuna dhuluma gani hapo?Nyie wafanyakazi si mna Chama chenu.. kwa nini msiitishe mgomo nchi nzima kupinga hizo mnaziita dhuluma.