wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
Mkuu, ndiyo tayari wameshatia nia .je hadi Leo hii umesiikia kusitishwa mshahara kwa mtumishi yeyote ndani ya nchi yetu Tanzania.Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...