Watumishi wa umma wamkumbuka Rais Magufuli kuwa na hofu juu ya mishahara kucheleweshwa

Ila fundi wewe miyeyusho sana yani leo tarehe 24 umerusha na uzi chap!!!! Mbona bado ni mapema sana na izi ndo tarehe za watumishi kulipwa.... Relax
 
Wewe ndo umekuwa msemaji wa watumishi, pambafu!!!!!. Nani amkumbuke mbaguzi mkubwa yule. Raisi wa Chato. Umemsikia GENERALI alivyoongea juzi UDSM. Raisi hatakiwi kuelekeza kila kitu kwao. raisi wa namna hiyo hafai. no wonder yametokea yaliyotokea. Watumishi ni waelewa sana wanajua mwisho wa mwezi haujafika!!!!
 
Mwambie aliyekutuma kwamba watumishi wote nchini kwa mama hatuna wasiwasi tena tulifurahishwa sana na kifo cha mpumbavu meko aliyepoka haki zetu za kiutumishi kwa miaka sita mfululizo....
 
acha kutuwekea maneno mdomoni
 
Aisee usitukumbushe tena habari za hilo Nyangumi muuwaji na mtekaji..
Nchi nzima ina furaha hivi sasa toka limeondoka..
Na jambo zuri zaidi hatarudi tena..hahahaha.
 
Mataga a.k.a SUKUMA GANG.
 

Mleta maada una jambo lako binafsi ila unawasingizia watumishi wengine kwa manufaa yako, huu uzi ulivyoandikwa hauakisi kabisaaaaaaaaaaa uyasemayo😵
 
Mtumishi wa umma ni mtu asiyeridhika hata umpe nini hata ukimuongeza mshahara hautamtosha kulinganisha na mtumishi sekta binafsi.
 
Hakuna mtumishi wa umma anayekumbuka mateso na dhuluma, acha uongo, Mama piga kazi iendelee, hata huo mshahara uchelewe maadam stahiki za mtumishi zimeanza kuangaziwa sawa tu. kuliko ukawahi halafu mtumishi kadhulumiwa stahiki zake.
 
Muacha(ge) hekaya za kipuuzi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…