Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi chuki mnazojaribu kupandikiza na chochezi za kitoto mtashindwa tu. Mnachelewa sana kujua Tanzania ina rais wa kwanza jinsia ambayo hamkuizoea. Kazi zitaenda na kwa taarifa zenu hizi zama ni bora kuliko zote zilizowahi kuwepo. Mnajipitisha sana kwenye mitandao mkitafuta wafuasi mtajiju wenyewe..Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa.
Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 21,22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo tarehe 24/5/2021 bado hawajapokea chochote.
Wanachodai ni kwamba pamoja na kidogo alichowapa Magufuli lakini kilikuwa kinatoka kwa wakati. Wanahoji kua ikiwa mtu ulimpatia mshahara wake tarehe 23 mwezi uliopita halafu leo unampa tarehe 24 maana yake umezidisha mwezi na ni kwanini?
Wanaingizwa na hofu kwa mifumo ya Serikali kuanza kuchezewa na watu wachache ambao hawamuogopi Mama yetu hali ya hofu itakayopelekea kucheleweshwa kwa mishahara yao zaidi huko mbeleni.
Katika hili ninamshauri Rais wetu msikivu Mama Samia na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu wawe wakali sana kuepusha madhara huko mbeleni.
Ahera hatupo, Duniani ndio kabisaaaa hatujulikani tulipoWatanzania mpaka sasa,hatujuwi tunataka nini?
Ova
Wamuache Mwenda zake apumzike...Fundi madirisha kawa msemaji wa watumishi! Yaani mataga hamtaki kabisa kuamini kuwa hii ni serikali ya awamu nyingine. Bado mnahisi jiwe bado yupo
Usipoteze muda na huyo mwana propaganda ndugu yangu,anadhani bila Magu nchi haiendi kama vipi naye amfuate huko huko alikoHizi ndio akili zetu watanzania. Unafiki mwanzo mwisho.
Mshahara wa January 2021 ulitoka January 25. Rais alikuwa alikuwa Nani?
Na pia mshahara wa December 2020 ulitoka Dec 22 je kutoka Dec 22 mpaka January 25 zilizidishwa siku ngapi?
Serikali haipo Kwa ajili ya watumishi wa umma pekee.
Ujinga pia ni mtaji!Mama Samia Hoyee. CCM Hoyee, huyu mama ana akili nyingi! Amewanunua CHADEMA wote bila kutumia hela! Wapinzani wote wa Magufuli, sasa ni CCM wapya! CHADEMA wanademkana na CCM kujipendekeza kwa mama. Rais Samia hoyee
Kwakweli.....Ni afadhali watumishi wakose mishahara kuliko yule sadist kuwa madarakani
Mishahara ilikuwa inatoka tarehe 25 siyo chini ya hapo. 25 ikiangukia weekend ndiyo ilikuwa inawahi. Alifanya hivi kutulaghai kwa vile aligoma kutupa increment zetu ambazo zipo kisheria. Sijui kama mama atatoa arrears. Ilikuwa danganya toto ile.Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa.
Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 2, 22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo tarehe 24/5/2021 bado hawajapokea chochote.
Wanachodai ni kwamba pamoja na kidogo alichowapa Magufuli lakini kilikuwa kinatoka kwa wakati. Wanahoji kua ikiwa mtu ulimpatia mshahara wake tarehe 23 mwezi uliopita halafu leo unampa tarehe 24 maana yake umezidisha mwezi na ni kwanini?
Wanaingizwa na hofu kwa mifumo ya Serikali kuanza kuchezewa na watu wachache ambao hawamuogopi Mama yetu hali ya hofu itakayopelekea kucheleweshwa kwa mishahara yao zaidi huko mbeleni.
Katika hili ninamshauri Rais wetu msikivu Mama Samia na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu wawe wakali sana kuepusha madhara huko mbeleni.
Ww jamaa ni mpumbavu sanaImeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa.
Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 2, 22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo tarehe 24/5/2021 bado hawajapokea chochote.
Wanachodai ni kwamba pamoja na kidogo alichowapa Magufuli lakini kilikuwa kinatoka kwa wakati. Wanahoji kua ikiwa mtu ulimpatia mshahara wake tarehe 23 mwezi uliopita halafu leo unampa tarehe 24 maana yake umezidisha mwezi na ni kwanini?
Wanaingizwa na hofu kwa mifumo ya Serikali kuanza kuchezewa na watu wachache ambao hawamuogopi Mama yetu hali ya hofu itakayopelekea kucheleweshwa kwa mishahara yao zaidi huko mbeleni.
Katika hili ninamshauri Rais wetu msikivu Mama Samia na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu wawe wakali sana kuepusha madhara huko mbeleni.
Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa.