Watumishi wa umma, wanasiasa na wafanyabiashara wanaiba na wataendelea kuiba kwa sababu tajiri Tanzania hafungwi

Katiba mpya ni muhimu ili kuwepo na Strong institutions !! Sasa hivi nadhani siasa inatawala kila mahali !!
 
Na wataendelea kuiba sana kufidia muda wa wizi waliyopoteza awamu ya 5. Mama katoa kila ishara yeye kupiga hela ya umma ruksa. Eti uibe utosheke au ushibe. Yeye anasubiri watu watosheke kuiba😂😎
Huwa hawatosheki kwa sababu huwa wanakosa peace of mind kwa sababu ya uhalifu walioufanya. !
 
Ukiisoma hiyo Report utagundua nae CAG anapoteza Mali ya Umma bure maana anafanyia kazi kitu kisichofanyiwa kazi kinabaki kama mapambo tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…