Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Nasi wananchi tujitahidi kukwepa kodi tuwezavyo hakuna mwenye huruma nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya ni muhimu ili kuwepo na Strong institutions !! Sasa hivi nadhani siasa inatawala kila mahali !!Hii TAKUKURU ni heri isiwepo kwani uwepo wake hauna tija ni upuuzi kuwa na hao TAKUKURU halafu maafisa wake wanalipwa mishahara kila mwezi halafu ubadhirifu wa fedha za umma uendelee kutamalaki mpaka Mh Rais wanamsababishia dhambi ya kuitukana hiyo mijizi stupid halafu wenyewe huko maofisini wapo tu wanamchora mama.Kama kirefu cha TAKUKURU ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa je wamewahi zuia lini kila mwaka report ya CAG inakuja na mafekenye ya upigaji wa kutisha
Duh 🙄 !Nasi wananchi tujitahidi kukwepa kodi tuwezavyo hakuna mwenye huruma nayo
Huwa hawatosheki kwa sababu huwa wanakosa peace of mind kwa sababu ya uhalifu walioufanya. !Na wataendelea kuiba sana kufidia muda wa wizi waliyopoteza awamu ya 5. Mama katoa kila ishara yeye kupiga hela ya umma ruksa. Eti uibe utosheke au ushibe. Yeye anasubiri watu watosheke kuiba😂😎
Duh! What about the big [emoji226]!!??TAKUKURU huwa inawateja wake VEO, WEO, walimu na manesi