Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Taarifa za dini ya mtu ni muhimu. Labda hatujakaa tufikiri vizuri tu.Mfano, watumishi wanakufa kila leo na wanahitaji huduma kwa mujibu wa dini zao. Kama serikali haina taarifa sahihi itawahudumiaje hawa watu?
kwani ndugu na jirani hawajui dini yake mpaka aandike kwenye CV?
 
Point kubwa:

Kuna faida kubwa sana kuacha kuulizana Dini na Kabila, kuliko kuyadadisi.

Unataka upate tija gani ktk utendaji wa mtumishi?

Au tusalishane maofisini, au tuongee kikabila.
Ndio hapo , sijui wanatuchukuliaje !
 
Taarifa za watumishi wote zitapelekwa Kwa Msajili wa Hazina.
Nafikiri ipo chini ya Wizara ya Fedha.
Hawa ndio wasimamizi wa Taasisi na mashirika ya Umma.
Msajili wa hazina amekosa kazi za kufanya kiasi Hichi?
Hata wamama wavaa Madera hawaulizagi kabila. Ukileta za kuleta unasutwa kwa kiswahili ukianza kulia na kujutia kosa mchezo umeisha.
 
Mkuu weighing out the balance shows kuna faida kubwa kuyaacha hayo kuliko kudeal nayo, tunaweza kurudishwa mbali tulikotoka kwa njia ya shortcut, hao watu ni hatari sana kwa mistakabali wa taifa letu, can you imagine tunavyoinjoi the diversity nchi hii, tunachanganyikana makanisani, misikitini, makazini, masokoni, mashuleni mitaani , michezoni n.k jambo kubwa ambalo ss kwa kulizoea tunalichukulia poa , angalia walikolikosa kwa wenzetu limewagharimu maisha yote : uhai, uchumi , maendeleo , amani n.k
Shetani ni shetani tu hawezi kosa reason fulani ya kudanganyia ili apenyeze upuuzi wake, lazima atunge ushawishi ili akubalike,
Sijui lakini labda wewe ndio ume ipa hype, mimi sijawahi kuwaza kwamba ita niadhiri maana hata hospitali huwa wana niuliza hivo hivo na sikuwahi kuwaza tofauti
 
Taarifa za dini sio muhimu, badala ya kulazmisha dini kwa kigezo cha kifo ni vyema hao watumishi wafundishwe kuandika wosia au wawe wanajaza fomu fupi za wakifa wanataka wazikweje.
Point kubwa sana hii.

Halafu hawa wanaosema mara vifo mara maziko.
Wajue, ktk taratibu za mazishi, serikali haihusiki kabisa
Serikali hutoa ubani tu wa rambirambi, na kusafirisha tu.
Mambo yote, hufanywa na ndugu, jamaa, basi!
 
Niliajiriwa mwaka 2009, nilikutana na fomu yenye vipengele vyote hivyo. Mwaka 2019 tulitakiwa ku-update taarifa zetu kwa kutakiwa kujaza cv iliyoandaliwa serikalini na ilikuwa na vipengele vyote ninavyoviona hapo; hakukuwa na kelele wala miguno ya kidini kwa kiongozi aliyekuwepo. Kwa sasa tangu achukue nchi mama samia nimejifunza yafuatayo;
kwa hiyo wako sahihi ila tu kwa nini wahoji leo? weka facts acha kulialia. Logic ya kutaka dini na kabila ni ipi,weka facts
Tunapinga udini na ukabila
 
1. Samia anachukiwa sababu ya dini yake tu basi. Kila anachofanya lazima KILAZIMISHWE kuhusishwa na dini yake na kikihusishwa na dini yake basi lazima ILAZIMISHWE kuwa kapendelea dini yake. Hali haikuwa hivyo kwa mtangulizi wake aliyeleta upendeleo sio wa udini tu bali hadi ukabila.....alisifiwa na kutukuzwa huku habari ya udini wake wa wazi na ukabila hata haukusemwa! Mapungufu meeengi tunayoambiwa ya samia, ukweli uliofichika ni chuki dhidi ya dini yake tu asingekuwa dini hiyo ninaamini hata tusingesikia. Hata huyu Kikwete asiyekoma kutukanwa na kuhusishwa na utawala wa mama samia, sababu kuu ni dini yake tu. Mkapa angelikuwa hai hata usingesikia mashambulizi yoyote dhidi yake.

2. Chuki na hila za maadui kumbe huleta baraka sana; tutulie na kuwapenda tu maadui Mungu yupo na anaangalia na analipa. Nimejifunza hili kutoka kwa mwinyi, kikwete na sasa huyu mama samia. Hawa watu hukuti jema linasemwa kuhusu wao humu mitandaoni. Ni taarifa hasi tu dhidi yao kuwa hawajui kuongoza, wana udini, hawajaleta maendeleo yoyote n.k Yanasemwa hayo huku waliokuwa wadini haswa wakiachwa, wenye roho mbaya wakiachwa, wenye upendeleo wa wazi wa kikanda wakiachwa. Uungwana wao wa kuwapenda watu na kuwapa furaha kwa kuwamwagia ajira na fursa zingine unafichwa ndani huko. Lakini mwisho wa yote Mungu anawafariji kwa kuwapa umri mrefu wenye furaha na vizazi vyema vinavyochipua (sote ni mashahidi hapa).
Vyote vinatakiwa vifutwe.
Haijalishi ni nani alileta.
Kama huoni hatari mbele, endelea kutulia.
 
Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.

Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.

Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.

Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.

Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.

Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Kwani anataka kuteua watumishi wote yeye apange safu yake aweke dini na kabila alionalo lamfaa
 
Ina sikitisha sana ukiangalia mitandaoni watanzania ni watu wa kulalamika na kutukana tu hakuna mwenye suluhisho. Sasa kama unafuta sheria una ogops nini mtu kujua dini na kabila lako, yani mpaka mtu uwe na hofu hiyo lazima utakua mdini ma mkabila.
 
Pumbavu wewe. Unaweza kufanya kazi gani katika nchi yenye utashi wa kuzingatia dini na ukabila? Una akili kweli wewe? Hujui hata histori ya dunia, na kwa nini dunia iemkuwa iki admire our communal togetherness regardless our poverty? Msittake Tz kuwa kchwa cha mwenda wazimu, kila mtu anafanya majaribio ya iq yake. Nchi hii ina misingi. Na kama ninyi ndio meglikuwa waasisi wa taifa hili, pengine leo hii tusingekuwa tofauti ya nchi zinazopigana vita vya kikabila ama kidini.

Usitake kuuawa kwa taifa eti upate kazi. Huu ni upumbavu na kuifanya nchi ya madenge. Humvumiliki. Tunavumlia mengi sana kwa sababu tenaenzi misingi ya taifa. Watz wangelikuwa na akili kama zenu, bila wasiothamini nguzo za taifa, bila shaka kingeliwaka zamani.

Naona kama tumevamiwa. TISS mnafanya mambo makubwa. Lakini tafadhali lindeni taifa letu.
Ndugu yangu, jamaa anasema tuache kazi apate kazi, sijui anamaanisha nini .

Leo Kila sehemu tukianza kuulizana Dini na Kabila, tutakuwa na Taifa kweli.!
 
Acha wenge jaza fomu hiyo mama yuko kazini
 
kwa hiyo wako sahihi ila tu kwa nini wahoji leo? weka facts acha kulialia. Logic ya kutaka dini na kabila ni ipi,weka facts
Tunapinga udini na ukabila
Hata mimi wakati naomba ajira nilijaza.
Ila leo wanataka nini?
Dini ili iweje, tusalishane?
Kabila la nini?
Je tutapima utendaji wa mtumishi kwa kuangalia hizo Kabila? Au Dini?
 
Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...
You are so myopic. Una upeo mfupi sana.
Wakristo mbona mna hofu Sana,au kwakuwa mmejazana kwenye maofisi mnajishtukia, muacheni Rais apige kazi,hizi kelele mngezipiga kipindi kile Cha dikteta
 
Pumbavu wewe. Unaweza kufanya kazi gani katika nchi yenye utashi wa kuzingatia dini na ukabila? Una akili kweli wewe? Hujui hata histori ya dunia, na kwa nini dunia iemkuwa iki admire our communal togetherness regardless our poverty? Msittake Tz kuwa kchwa cha mwenda wazimu, kila mtu anafanya majaribio ya iq yake. Nchi hii ina misingi. Na kama ninyi ndio meglikuwa waasisi wa taifa hili, pengine leo hii tusingekuwa tofauti ya nchi zinazopigana vita vya kikabila ama kidini.

Usitake kuuawa kwa taifa eti upate kazi. Huu ni upumbavu na kuifanya nchi ya madenge. Humvumiliki. Tunavumlia mengi sana kwa sababu tenaenzi misingi ya taifa. Watz wangelikuwa na akili kama zenu, bila wasiothamini nguzo za taifa, bila shaka kingeliwaka zamani.

Naona kama tumevamiwa. TISS mnafanya mambo makubwa. Lakini tafadhali lindeni taifa letu.
Zamani walikuwa wanawaondoa watu wanaotaka kuivuruga ccm, kwa kuwaita dodoma, sasa hawa wanaoplan mazito kuliko kuigusa ccm nadhani ni kuwashughulikia fasta zaidi, kwa wale TISS wazalendo maana hata TISS imeshavamiwa bila shaka sasa mwisho wa siku nahisi kila eneo litatekwa na hawa wavuruga nchi,
 
Just imaging, kwenye ardhi unam - substitute Lukuvi kwa rizi-one, hii ni akili timamu au matope??? alafu wasio jielewa bado wanasema oohoo atatuvusha tuuu…………………….
 
Kinacho nisikitisha ni kwamba, wale wale mlioshangilia wakati wa Magufuli akiyafanya haya, ndio na leo mnayapinga.
Magufuli alitumbua waislamu na wachaga akajiwekea Wasukuma serikalini na bungeni.

Mnasahau kuwa Chui jike kajifunza na kurithi Udini, Ukabila na roho mbaya kwa Jiwe?!

#Katiba mpya ni lazima na ni sasa
Use mkweli siku zingine! Magufuli alitumbua yeyote pamoja na wasukuma! Kama akina Charles Kitwanga waziri wa mambo ya ndani pamoja Charles Mlingwa mkuu wa mkoa wa mara! Msiwe waongo kwa chuki zenu za kikabila!
 
Back
Top Bottom