Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.

Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.

Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.

Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.

Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.

Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Kelele za chura
 
Habari wana JF ..

Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.

Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.

Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!

Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.

Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......

Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.

Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.

Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?

KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!

Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.

Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.

Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,

Mbona hii ipo toka enzi za marehemu mwl cha ajabu ni kipi?
 
Ikumbukwe watu hawajazwi tu, unaangaliwa uwezo. Kwa waislamu wengi elimu ya madrasa ni bora kuliko nyingine unategemea nini hapo? Na ni kwa nini tuanze kulinganisha uwiano kwa mizania ya kidini? Tukianza na ukristo na uislam hata waki balance 50/50 kwenye wakristo wataanza kuangalia wa RC, wasabato, walutheri etc kwa waislamu hali napo itakua hivyo hivyo mwisho wa siku tunatengeneza taifa lenye mpasuko kwa misingi ya kidini, Hizi dini sio bora kuliko u raia/uTanzania wetu.
Kama waislamu Hawana elimu basi tumuache anachotaka kufanya maana hato wapata wenye vigezo.
 
ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenu
Naona hadi wameanza kuondo majina yale ya utambulisho wao kwa watoto wao mfano;
massawe, mushi, lema, kimaro, shio, shayo, lekule nk
Sasasa unakuta;
John panteleo amani
Jackob john baraka
Fred bosco riziki 😄
 
Watatoka mapangoni tu mwaka huu. Wameficha kwa muda na sasa siri wanazitoa nje wenyewe.
 
Naona hadi wameanza kuondo majina yale ya utambulisho wao kwa watoto wao mfano;
massawe, mushi, lema, kimaro, shio, shayo, lekule nk
Sasasa unakuta;
John panteleo amani
Jackob john baraka
Fred bosco riziki [emoji1]

Wameona husuda inazidi kuwa kali toka kwa watu fulani.

Hata mimi nashauri bora iwe hivyo.
 
Habari wana JF ..

Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.

Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.

Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!

Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.

Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......

Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.

Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.

Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?

KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!

Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.

Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.

Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,

Kwa hili naomba kumtetea Rais Samia. Utaratibu wa kujaza dini na kabila umekuwepo tangu mimi naanza la kwanza mwaka 1983 hadi Januari, 2022 nampeleka mwanangu kuanza form one! Mtoa mada anaweza akawa halijui hili au amelileta kishabiki!
 
Niliajiriwa serikalini toka august 1982 nililikuta tutafute jingine.
 
Shinge2,
Unajadili somo usilolijua.

Unaijua historia ya kuvunjwa kwa EAMWS 1968?

Unajua kwa nini ilivunjwa na serikali kuunda BAKWATA?

EAMWS 1968 ilikuwa inajenga shule nchi nzima na jiwe la msingi la Chuo Kikuu liliwekwa na Julius Nyerere.

Waislam wanajenga Chuo Kikuu?
Hili halikubaliki.

Waislam wanajenga shule na wanajenga Chuo Kikuu sisi hatuna Chuo Kikuu!

Hii EAMWS lazima tuivunje kabla haijajenga Chuo Kikuu.

Unaijua historia hii?

EAMWS ikavunjwa na miradi yake yote ya elimu ikaenda na maji.

Je, unawajua waliotenda haya ndani ya serikali ya Tanzania?

Hii ndiyo hatari ya kutaka kujadili mambo usiyoyajua.

Nani kakufunza kuwa Waislam hatukuwa na mipango ya elimu?

Tupiganie uhuru hadi upatikane tusijue tutafanya nini tukishapata uhuru?

Soma historia ya Muslim Congress 1962 na 1963 utajifunza historia ya Waislam wa Tanganyika.

Kiongozi wa Waislam alikuwa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir.

Unaujua mchango wa Sheikh Hassan bin Ameir katika TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika?

Umepata kusoma popote!
Hujiulizi kwa nini?

Baada ya uamuzi kupitishwa kuwa EAMWS ivunjwe Sheikh Hassan bin Ameir alikamatwa usiku wa manane akarudishwa Zanzibar na akapigwa marufuku asitie mguu wake Tanganyika.

Soma historia ya Waislam wa Tanganyika utajifunza mengi na sababu kwa nini mimi niliamua lazima historia hii niiandike ijulikane na vizazi vitajavyokuja baadae.
Umeanza UZUSHI, UMBEA na UONGO wako.

Hizi porojo kaendelee kuzipiga huko Masjid, hapa hatudanganyiki NG'O.

Wajifanya kujua kila kitu na kusema wenzio hawajui, kumbe UONGO mtupu.
 
Akili...
Inaelekea wewe ni mgeni hapa.
Si kitu.

Inabidi uanze kusoma alif kwa kijiti.
Hapa JF kuna post nyingi sana nimeandika na nyingine kuchangia.

Anza kusoma hizo nyingine zinakwenda nyuma miaka 10.
Upunguze UONGO wewe Mzee.
 
Misaada ya kipesa tunaomba Marekani, Mikopo- Marekani (IMF), Jamani hata hizi Takwimu za kwetu tuvuke masafa mpaka Marekani kujua idadi ya wakristo/waislam wangapi nchini kwetu. Ni aibu!!!!!!!!!!! Kwanini tusijipange na kupata Takwimu zetu wenyewe katika SENSA tunazofanya humu nchini?

Yaani mmarekani akifanya Takwimu juu ya idadi ya waislam na wakristo ni sahihi, Lakini Tanzania kufanya takwimu hizo ni marufuku. Na Takwimu unazihitaji ila hutaki kufanya - Kweli tupo pabaya. Sasa nitafanya kila lililo katika uwezo wangu kuhakikisha kuwa kipengele cha KABILA na DINI kiwepo katika sensa ijayo.
Unajua sisi tunatoa skewed report ili kutufaidisha kisiasa nk. Wenzetu wana SABABU na MADHUMUNI ya ku conserve Data hizo toka nchi mbali mbali kwa MANUFAA ya baadaye. Nakutakia safari njema ya wazo lako la Sensa.
 
Tulizeni mishono dawa iwaangie, tuhuma za udini na ukabila kwenye taasisi za sirikali zimekithirini sana, sasa mama anachunguza je ni kweli ama laa? Hakuna ubaya kuchunguza tuhuma nzito kama hizo ,

Kama mbwai mbwai tu , lakini lazma tuchunguze na kuleta uwiano sawa kwenye sirikali, sio dini fulani au kabila moja mkurugenz hadi mfagiaji.

Keki ya taifa lazma watu wote wapate . Haki na usawa
Ngoja tuone
 
Absurdity in its true form
Ni ulimbukeni wa hali ya juu
Tuvunje Mikoa
Tuvunje Majimbo

Tuunde Makabila
Tuunde Dini
Wenye Kabila kubwa waunde
Wenye Dini kubwa waunde
Majority rule??

Hayo juu unaweza kufikiria ni mafikirio ya wanaotaka kurudisha majority rule per-se

Hayo juu unaweza kufikiria sio mafikirio ya mtu au watu wenye kutakia mema usawa wa Nchi yao?
Ni nani hawa?
Wabunge na bunge?
Serikali?
Je ni matakwa ya Kufanya biashara na Nchi kubwa

Kweli Duniani kuna mambo
 
A "...kunakuwa watu wa imani maalum ndiyo wanahodhi nafasi ndani ya serikali kwa kuwa wao ndiyo wenye akili zaidi ya wengine basi hapo kuna tatizo.

B. "Ikiwa taifa lolote lile duniani kunakuwa watu wa imani maalum ndiyo walio nje ya nafasi ndani ya serikali kwa kuwa wao hawana akili kama wenzao basi hapo kuna tatizo."
C. "
Lakini ukweli ni kuwa hakuna hali kama hii popote ulimwenguni.
Ukiona dini moja imehodhi fursa zote nchini lazima kutakuwa na walakini."

20:80?

Nisaidie, kwahiyo ina maana hili la D
"Ikiwa Tanzania ya leo baada ya miaka 60 ya uhuru hali ndiyo hii ya 20:80 lazima marekebisho yafanyike."

...ina maana yakuwa bila marekebisho walakini huo upu?
Na kama ndio hivyo basi Tanzania ndio itakuwa nchi ya kwanza Duniani, "Ulimwenguni" kuwa na kasoro?

Nimechanganyikiwa.

Kama ni Demokrasia, ninavyoaminishwa, Majority rules, Minority may dissent- amicably

Basi wenye kabila kubwa, wenye dini ya watu wengi katika "ulimwenguni" huu ikiwemo Nchi yetu wana Haki ya Kutawala
CCM, ni kabila la makabila na dini mbadala, wao ndio wenye kuhodhi madaraka, wao ndio wanalinda Katiba, wao ndio Majority sijui kama20/80 ipo bungeni?
sijaona pale ulipo chemka na kudai "Walakini" huo?

Aluta Continua
 
Na watu wakianza kuchokonoa haya. Tunajikuta pabaya sana.
Mfano kama mnapigania usawa wa kidini makazini. Huko Zanzibar mnaweza kuuweka huo usawa? Na ukabila je?
Acheni kupalilia mgawanyiko.
Kwani Zanzibar mkuu sininchi yenye Rais wake,mawaziri wake,bunge lake na watu wake?
 
Back
Top Bottom