Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Kelele za chura
 
Mbona hii ipo toka enzi za marehemu mwl cha ajabu ni kipi?
 
Kama waislamu Hawana elimu basi tumuache anachotaka kufanya maana hato wapata wenye vigezo.
 
ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenu
Naona hadi wameanza kuondo majina yale ya utambulisho wao kwa watoto wao mfano;
massawe, mushi, lema, kimaro, shio, shayo, lekule nk
Sasasa unakuta;
John panteleo amani
Jackob john baraka
Fred bosco riziki 😄
 
Naona hadi wameanza kuondo majina yale ya utambulisho wao kwa watoto wao mfano;
massawe, mushi, lema, kimaro, shio, shayo, lekule nk
Sasasa unakuta;
John panteleo amani
Jackob john baraka
Fred bosco riziki 😄
Watatoka mapangoni tu mwaka huu. Wameficha kwa muda na sasa siri wanazitoa nje wenyewe.
 
Naona hadi wameanza kuondo majina yale ya utambulisho wao kwa watoto wao mfano;
massawe, mushi, lema, kimaro, shio, shayo, lekule nk
Sasasa unakuta;
John panteleo amani
Jackob john baraka
Fred bosco riziki [emoji1]



Wameona husuda inazidi kuwa kali toka kwa watu fulani.

Hata mimi nashauri bora iwe hivyo.
 
Kwa hili naomba kumtetea Rais Samia. Utaratibu wa kujaza dini na kabila umekuwepo tangu mimi naanza la kwanza mwaka 1983 hadi Januari, 2022 nampeleka mwanangu kuanza form one! Mtoa mada anaweza akawa halijui hili au amelileta kishabiki!
 
Kwa hili naomba kumtetea Rais Samia. Utaratibu wa kujaza dini na kabila umekuwepo tangu mimi naanza la kwanza mwaka 1983 hadi Januari, 2022 nampeleka mwanangu kuanza form one! Mtoa mada anaweza akawa halijui hili au amelileta kishabiki!
Niliajiriwa serikalini toka august 1982 nililikuta tutafute jingine.
 
Umeanza UZUSHI, UMBEA na UONGO wako.

Hizi porojo kaendelee kuzipiga huko Masjid, hapa hatudanganyiki NG'O.

Wajifanya kujua kila kitu na kusema wenzio hawajui, kumbe UONGO mtupu.
 
Akili...
Inaelekea wewe ni mgeni hapa.
Si kitu.

Inabidi uanze kusoma alif kwa kijiti.
Hapa JF kuna post nyingi sana nimeandika na nyingine kuchangia.

Anza kusoma hizo nyingine zinakwenda nyuma miaka 10.
Upunguze UONGO wewe Mzee.
 
Unajua sisi tunatoa skewed report ili kutufaidisha kisiasa nk. Wenzetu wana SABABU na MADHUMUNI ya ku conserve Data hizo toka nchi mbali mbali kwa MANUFAA ya baadaye. Nakutakia safari njema ya wazo lako la Sensa.
 
Ngoja tuone
 
Absurdity in its true form
Ni ulimbukeni wa hali ya juu
Tuvunje Mikoa
Tuvunje Majimbo

Tuunde Makabila
Tuunde Dini
Wenye Kabila kubwa waunde
Wenye Dini kubwa waunde
Majority rule??

Hayo juu unaweza kufikiria ni mafikirio ya wanaotaka kurudisha majority rule per-se

Hayo juu unaweza kufikiria sio mafikirio ya mtu au watu wenye kutakia mema usawa wa Nchi yao?
Ni nani hawa?
Wabunge na bunge?
Serikali?
Je ni matakwa ya Kufanya biashara na Nchi kubwa

Kweli Duniani kuna mambo
 
A "...kunakuwa watu wa imani maalum ndiyo wanahodhi nafasi ndani ya serikali kwa kuwa wao ndiyo wenye akili zaidi ya wengine basi hapo kuna tatizo.

B. "Ikiwa taifa lolote lile duniani kunakuwa watu wa imani maalum ndiyo walio nje ya nafasi ndani ya serikali kwa kuwa wao hawana akili kama wenzao basi hapo kuna tatizo."
C. "
Lakini ukweli ni kuwa hakuna hali kama hii popote ulimwenguni.
Ukiona dini moja imehodhi fursa zote nchini lazima kutakuwa na walakini."

20:80?


Nisaidie, kwahiyo ina maana hili la D
"Ikiwa Tanzania ya leo baada ya miaka 60 ya uhuru hali ndiyo hii ya 20:80 lazima marekebisho yafanyike."

...ina maana yakuwa bila marekebisho walakini huo upu?
Na kama ndio hivyo basi Tanzania ndio itakuwa nchi ya kwanza Duniani, "Ulimwenguni" kuwa na kasoro?

Nimechanganyikiwa.

Kama ni Demokrasia, ninavyoaminishwa, Majority rules, Minority may dissent- amicably

Basi wenye kabila kubwa, wenye dini ya watu wengi katika "ulimwenguni" huu ikiwemo Nchi yetu wana Haki ya Kutawala
CCM, ni kabila la makabila na dini mbadala, wao ndio wenye kuhodhi madaraka, wao ndio wanalinda Katiba, wao ndio Majority sijui kama20/80 ipo bungeni?
sijaona pale ulipo chemka na kudai "Walakini" huo?

Aluta Continua
 
Na watu wakianza kuchokonoa haya. Tunajikuta pabaya sana.
Mfano kama mnapigania usawa wa kidini makazini. Huko Zanzibar mnaweza kuuweka huo usawa? Na ukabila je?
Acheni kupalilia mgawanyiko.
Kwani Zanzibar mkuu sininchi yenye Rais wake,mawaziri wake,bunge lake na watu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…