Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Tatizo liko wapi,mbona shuleni watoto wakisajiliwa wanaandikwa na dini zao,shule za msingi na sekondari,vyuoni pia ni hivyo,sioni tatizoliko wapi.
 
Unajua sisi tunatoa skewed report ili kutufaidisha kisiasa nk. Wenzetu wana SABABU na MADHUMUNI ya ku conserve Data hizo toka nchi mbali mbali kwa MANUFAA ya baadaye. Nakutakia safari njema ya wazo lako la Sensa.
Nimekuelewa na nashukuru kuwa angalau kwa hili moja tupo pamoja, kuwa Takwimu za kujua idadi ya Watu katika Dini na makabila mbali mbali ni muhimu. Swali tutafanyaje kupata Takwimu sahihi. Lakini kipengele cha Dini/kabila ni lazima kiwepo katika sensa na maeneo mengine. Hakuna ubaya katika hilo.
 
Teuzi ziwe na interview,ajira ziwe na interview tuone nani anauwezo
 
Umesema kweli ndugu...Mungu Muweza wa yote akupe baraka zake.
 
Kaka si umeambiwa hizo form hazijaanza leo kwa mama yetu Samia?. Zipo kitambo. Acha fitna. Kuwa na imani serikalin inafanya kwa nia njema tu.
 
Japo hatujui wanapanga nini lakini kabila na dini sio vitu vya kutukuzwa hata kidogo.

Mkuu ktk hilo sina jibu sahihi.
 
Craaaaap.
Eti EAMWS inajenga shule nchi nzima...
Kwanini haikujenga huko Kenya ambako ndio yalikuwa makao makuu yao?
Kwanza unaipresent hiyo EAMWS kama true islamic institution ilhali ilijaa washia na waisimailia ambao nyie ma-radicals mnawakataa.
Acha uongo.
Acha fitina.
 
Nimependa tu hapo, kwann hawakujenga Kenya? Anyways opportunity za kusoma kwa Sasa zipo nyingi sana, mbona bado wapo nyuma sana kielimu?
 
Nan...
Ukianza mjadala kwa namna hiyo yako kwangu mimi inakuwa vigumu kuchangia chochote kwani naogopa kuingia katika mazungumzo na mtu ambae kaghadhibika.

Waswahili tuna msemo kheri nusu shari kuliko shari kamili.

Ikiwa unapenda tufanye huu mjadala mimi niko tayari lakini uwe wa kistaarabu ili wasomaji wanufaike na yale ambayo sote tutachangia.

Mjadala wa kutukanana hauna tija wala maana yoyote.
 
Nimependa tu hapo, kwann hawakujenga Kenya? Anyways opportunity za kusoma kwa Sasa zipo nyingi sana, mbona bado wapo nyuma sana kielimu?
Man...
Unauliza kwa nini Waislam wako nyuma katika elimu.
Nitakuwekea hapo mfano mmoja kukuonyesha kwa nini:

''Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.

Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)

 
Hizi statistics zako they're quite problematic,. kwanza hazina kitu kinaitwa "reliability" labda nikuulize hizo asilimia umezipoa wapi? Kichwani,? Za lini? Za wapi? A subset au zina represent an entire population (i.e Tanzania). Anyways mi sio mwislam, na wala sio shabiki kwa waislam kuwa nyuma kielimu, nimefanya tafiti nyingi sana and I can honestly tell you why waislam wapo nyuma, and you can go and prove my hypotheses.

Kipindi Cha nyuma walisema "waislam" hawafanyi vizuri sababu ya majina, kwamba wasahihishaji wa mtihani wanaonea waislam sababu ya majina, zikaja number instead of names lakini toka miaka ya 90 hadi Leo gap linazidi kuwa kubwa and I can surely tell you why, and it's not going to slow anytime soon, Je waislam hawana akili as compared na wakristo? That's not true, ila waislam watazidi kubaki kuwa nyuma kielimu wasipojua the "causality" of their poor performance academically, uzuri nimesoma, nimefanya tafiti najua nachokwambia.
 
Kwani tatizo liko wapi, mbona mambo ya kawaida miaka yote au ww huna ajira nini?
 
Kwani tatizo liko wapi, mbona mambo ya kawaida miaka yote au ww huna ajira nini?
Nani alikwambia kawaida haibadiliki.
Wewe unaona ni sawa?!
In fact taarifa hizo huombwa wkt wa ajira mpya. Sio kwa waliopo kazini.
You are so Myopic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…