KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Wagala wamejaa hofu hatari,hii yako ngumu kumeza.[emoji16][emoji16][emoji16]Kama waislamu Hawana elimu basi tumuache anachotaka kufanya maana hato wapata wenye vigezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagala wamejaa hofu hatari,hii yako ngumu kumeza.[emoji16][emoji16][emoji16]Kama waislamu Hawana elimu basi tumuache anachotaka kufanya maana hato wapata wenye vigezo.
Kazi ni interview sio dini, za uteuzi ndio hazina interviewNow days waislamu wenye master's degrees wako kibao tu,PhD holders wapo ajabu bado 80 kwa 20 tu
Kwann hamtaki 50/50?
Kazi ni interview sio dini, za uteuzi ndio hazina interviewNow days waislamu wenye master's degrees wako kibao tu,PhD holders wapo ajabu bado 80 kwa 20 tu
Kwann hamtaki 50/50?
Nimekuelewa na nashukuru kuwa angalau kwa hili moja tupo pamoja, kuwa Takwimu za kujua idadi ya Watu katika Dini na makabila mbali mbali ni muhimu. Swali tutafanyaje kupata Takwimu sahihi. Lakini kipengele cha Dini/kabila ni lazima kiwepo katika sensa na maeneo mengine. Hakuna ubaya katika hilo.Unajua sisi tunatoa skewed report ili kutufaidisha kisiasa nk. Wenzetu wana SABABU na MADHUMUNI ya ku conserve Data hizo toka nchi mbali mbali kwa MANUFAA ya baadaye. Nakutakia safari njema ya wazo lako la Sensa.
Teuzi ziwe na interview,ajira ziwe na interview tuone nani anauwezoHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Umesema kweli ndugu...Mungu Muweza wa yote akupe baraka zake.Niliajiriwa mwaka 2009, nilikutana na fomu yenye vipengele vyote hivyo. Mwaka 2019 tulitakiwa ku-update taarifa zetu kwa kutakiwa kujaza cv iliyoandaliwa serikalini na ilikuwa na vipengele vyote ninavyoviona hapo; hakukuwa na kelele wala miguno ya kidini kwa kiongozi aliyekuwepo. Kwa sasa tangu achukue nchi mama samia nimejifunza yafuatayo;
1. Samia anachukiwa sababu ya dini yake tu basi. Kila anachofanya lazima KILAZIMISHWE kuhusishwa na dini yake na kikihusishwa na dini yake basi lazima ILAZIMISHWE kuwa kapendelea dini yake. Hali haikuwa hivyo kwa mtangulizi wake aliyeleta upendeleo sio wa udini tu bali hadi ukabila.....alisifiwa na kutukuzwa huku habari ya udini wake wa wazi na ukabila hata haukusemwa! Mapungufu meeengi tunayoambiwa ya samia, ukweli uliofichika ni chuki dhidi ya dini yake tu asingekuwa dini hiyo ninaamini hata tusingesikia. Hata huyu Kikwete asiyekoma kutukanwa na kuhusishwa na utawala wa mama samia, sababu kuu ni dini yake tu. Mkapa angelikuwa hai hata usingesikia mashambulizi yoyote dhidi yake.
2. Chuki na hila za maadui kumbe huleta baraka sana; tutulie na kuwapenda tu maadui Mungu yupo na anaangalia na analipa. Nimejifunza hili kutoka kwa mwinyi, kikwete na sasa huyu mama samia. Hawa watu hukuti jema linasemwa kuhusu wao humu mitandaoni. Ni taarifa hasi tu dhidi yao kuwa hawajui kuongoza, wana udini, hawajaleta maendeleo yoyote n.k Yanasemwa hayo huku waliokuwa wadini haswa wakiachwa, wenye roho mbaya wakiachwa, wenye upendeleo wa wazi wa kikanda wakiachwa. Uungwana wao wa kuwapenda watu na kuwapa furaha kwa kuwamwagia ajira na fursa zingine unafichwa ndani huko. Lakini mwisho wa yote Mungu anawafariji kwa kuwapa umri mrefu wenye furaha na vizazi vyema vinavyochipua (sote ni mashahidi hapa).
Huu ni upumbavu na hatari kubwa!
Serikali inataka kujenga makanisa na misikiti? Serikali inataka kutengeneza taratibu za kufanya matambiko?
Mwalimu must be rolling in his grave!
Kaka si umeambiwa hizo form hazijaanza leo kwa mama yetu Samia?. Zipo kitambo. Acha fitna. Kuwa na imani serikalin inafanya kwa nia njema tu.Moja,
Kazi hazijawahi kusimama Kwa sababu ya watu kwenda kuabudu.
Pili,
Hakuna packages za kidini, ktk utumishi wa Umma, Hapa mnataka kujenga kaburi ambalo hata urefu wake hamlijui.
Tatu,
Serikali haihusiki na mirathi na mambo ya maziko ya watumishi, haihusiki kabisa na hizo taratibu. Nakupa elimu kwa sababu inaonekana huna ufahamu na ofisi za umma.
Nne,
Hilo la malalamiko mbalimbali, aangalie ni wapi wanalalamika na aende huko kuhoji. Sio utumishi nchi nzima kujazishwa hivi. Na haielezi lengo ni nini
Japo hatujui wanapanga nini lakini kabila na dini sio vitu vya kutukuzwa hata kidogo.
Mkuu ktk hilo sina jibu sahihi.Nimekuelewa na nashukuru kuwa angalau kwa hili moja tupo pamoja, kuwa Takwimu za kujua idadi ya Watu katika Dini na makabila mbali mbali ni muhimu. Swali tutafanyaje kupata Takwimu sahihi. Lakini kipengele cha Dini/kabila ni lazima kiwepo katika sensa na maeneo mengine. Hakuna ubaya katika hilo.
Craaaaap.Shinge2,
Unajadili somo usilolijua.
Unaijua historia ya kuvunjwa kwa EAMWS 1968?
Unajua kwa nini ilivunjwa na serikali kuunda BAKWATA?
EAMWS 1968 ilikuwa inajenga shule nchi nzima na jiwe la msingi la Chuo Kikuu liliwekwa na Julius Nyerere.
Waislam wanajenga Chuo Kikuu?
Hili halikubaliki.
Waislam wanajenga shule na wanajenga Chuo Kikuu sisi hatuna Chuo Kikuu!
Hii EAMWS lazima tuivunje kabla haijajenga Chuo Kikuu.
Unaijua historia hii?
EAMWS ikavunjwa na miradi yake yote ya elimu ikaenda na maji.
Je, unawajua waliotenda haya ndani ya serikali ya Tanzania?
Hii ndiyo hatari ya kutaka kujadili mambo usiyoyajua.
Nani kakufunza kuwa Waislam hatukuwa na mipango ya elimu?
Tupiganie uhuru hadi upatikane tusijue tutafanya nini tukishapata uhuru?
Soma historia ya Muslim Congress 1962 na 1963 utajifunza historia ya Waislam wa Tanganyika.
Kiongozi wa Waislam alikuwa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir.
Unaujua mchango wa Sheikh Hassan bin Ameir katika TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika?
Umepata kusoma popote!
Hujiulizi kwa nini?
Baada ya uamuzi kupitishwa kuwa EAMWS ivunjwe Sheikh Hassan bin Ameir alikamatwa usiku wa manane akarudishwa Zanzibar na akapigwa marufuku asitie mguu wake Tanganyika.
Soma historia ya Waislam wa Tanganyika utajifunza mengi na sababu kwa nini mimi niliamua lazima historia hii niiandike ijulikane na vizazi vitajavyokuja baadae.
Nimependa tu hapo, kwann hawakujenga Kenya? Anyways opportunity za kusoma kwa Sasa zipo nyingi sana, mbona bado wapo nyuma sana kielimu?Craaaaap.
Eti EAMWS inajenga shule nchi nzima...
Kwanini haikujenga huko Kenya ambako ndio yalikuwa makao makuu yao?
Kwanza unaipresent hiyo EAMWS kama true islamic institution ilhali ilijaa washia na waisimailia ambao nyie ma-radicals mnawakataa.
Acha uongo.
Acha fitina.
Nan...Craaaaap.

Man...Nimependa tu hapo, kwann hawakujenga Kenya? Anyways opportunity za kusoma kwa Sasa zipo nyingi sana, mbona bado wapo nyuma sana kielimu?
Hizi statistics zako they're quite problematic,. kwanza hazina kitu kinaitwa "reliability" labda nikuulize hizo asilimia umezipoa wapi? Kichwani,? Za lini? Za wapi? A subset au zina represent an entire population (i.e Tanzania). Anyways mi sio mwislam, na wala sio shabiki kwa waislam kuwa nyuma kielimu, nimefanya tafiti nyingi sana and I can honestly tell you why waislam wapo nyuma, and you can go and prove my hypotheses.Man...
Unauliza kwa nini Waislam wako nyuma katika elimu.
Nitakuwekea hapo mfano mmoja kukuonyesha kwa nini:
''Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.
Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.
Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)
![]()
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 Mohamed Said February 17, 2015 0 Annur Na.187- Feb....mohamedsaidsalum.blogspot.com
Kwani tatizo liko wapi, mbona mambo ya kawaida miaka yote au ww huna ajira nini?Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Nani alikwambia kawaida haibadiliki.Kwani tatizo liko wapi, mbona mambo ya kawaida miaka yote au ww huna ajira nini?