ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenuHalafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Ni muhimu serikali imtambue mtumishi wake Kwa taarifa Kama hizo incase of emergency Kama vifo na nyingine. Hata hospital japo sijaenda MDA lakin last time nimeona vipengele hivyo.Inawezekana ikaileweka vibaya kwasababu tayar Kuna mitizamo tofauti juu ya Kiongozi mkuu.
Ila hili jambo lipo na lilikuwepo kwa watumishi. Kuna muda watu walihoji na majibu yalionyesha ni kwa nia njema, Mfano mtumishi anapofariki zipo taratibu za kumhifadhi kiimani kabla ndugu zake hawajapatikana au kufika eneo husika, lakini pia kulikuwepo na mgongano wa nyakat za ibada hasa kwa Wasabato na Waislam.
Kuna maeneo ijumaa hawana break kabisa kwakuwa idadi kubwa ya wakaazi ni Wakristo kwahiyo hili la kuwatambua inaeezekana halina sura ya udini au ukabila.
Kwani serikali inafanya matambiko? Serikali inaswalisha? Kuna kitu gani cha kiimani au kikabila serikali inafanya kwenye hizo dharula?Ni muhimu serikali imtambue mtumishi wake Kwa taarifa Kama hizo incase of emergency Kama vifo na nyingine. Hata hospital japo sijaenda MDA lakin last time nimeona vipengele hivyo.
Hakuna kitu kinachoitwa 'mfumo kristu' kwenye hili taifa........hizo ni kampeni za kueneza chuki, fitina na hila ovu dhidi ya kundi fulani la ki-imani.Wanasema mfumo kristu wanauvunja[emoji1787][emoji1787]
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Inside 10,Anamkosha Mohamed Said katika hili atakuja na zile ratio zake za 80:20
Kipolisi nadhani kuulizwa kuhusu kabila kuna justification.Nadhani hili sio jipya na ni usumbufu tu kwani mtu anapoajiriwa, taarifa hizo karibu zote hutakiwa kuzijaza sasa sijui kwanini wanaziomba upya.
Hata Polisi wanapochukua taarifa za wahalifu, huchukua taarifa zikiwemo za kabila la mtu na sijui ni kwanini.
Kikwete kahusikaje hapa. Tuachie Rais tuliyemuelewa kuliko woteKikwete acha kutuharibia nchi,ndio maana magufuri alikupiga stop kumsogelea
Lengo ni kuwapunguza wakristo hazina hapoHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
View attachment 2095758
Tanzania tumeingia kwenye mfumo wa uchifu na machifu hufanya matambiko, hivyo ni vyema mkajulikana makabila na dini zenu kwa ajili ya kufanikisha matambiko.Habari wana JF ..

Huyu rais ni mdini na makabila (Uzanzibari) wa kupindukia. Nyerere alituonya mapema juu ya kuongozwa na watu waliofilisika kisiasaHabari wana JF ..

Boss sio kweli mm wakati naanza ajira kuna kipengele kwenye mkataba wangu ajira za serikali kinauliza dini.Hili jambo sio jipya nashangaa kuona mleta mada analikuza kana kwamba limekuja leo.Au kwakuwa kwenye ajira za serikali ni mgeni.Kwenye rekodi za serikali huwa hakuna dini wala kabila la mtu. Nyerere aliondoa hiyo zamani sana wakati taifa bado ni changa, na hata marais waislamu Mwinyi na Kikwete hawakuirudisha. Sasa tumepata mwislamu kamili ndiye anayeyaleta. Katika teuzi wake naona kipengele cha dini kimekuwa ni cha muhimu sana kwake; na ili kukihalalisha ndiyo maana ameunganisha na ukabila akianzia na kurudisha uchifu.
View attachment 2095774