Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenu
 
Inawezekana ikaileweka vibaya kwasababu tayar Kuna mitizamo tofauti juu ya Kiongozi mkuu.
Ila hili jambo lipo na lilikuwepo kwa watumishi. Kuna muda watu walihoji na majibu yalionyesha ni kwa nia njema, Mfano mtumishi anapofariki zipo taratibu za kumhifadhi kiimani kabla ndugu zake hawajapatikana au kufika eneo husika, lakini pia kulikuwepo na mgongano wa nyakat za ibada hasa kwa Wasabato na Waislam.
Kuna maeneo ijumaa hawana break kabisa kwakuwa idadi kubwa ya wakaazi ni Wakristo kwahiyo hili la kuwatambua inaeezekana halina sura ya udini au ukabila.
 
Ni muhimu serikali imtambue mtumishi wake Kwa taarifa Kama hizo incase of emergency Kama vifo na nyingine. Hata hospital japo sijaenda MDA lakin last time nimeona vipengele hivyo.
 
Du aisee Lakini, kabla ya mama ukabila na udini bado ulikuwepo , ila kimya kimya , hasa Hawa wachaga na wasukuma na ndugu Yao jiwe ameleta sana udini, Kuna siku nasoma CV ya msukuma mmoja, nakuta kaweka kabila lake kwenye CV, ila nilikuwa kuona matokeo yake baada ya yeye kupata kazi na Mimi kukosa.
 
Anamkosha Mohamed Said katika hili atakuja na zile ratio zake za 80:20
Inside 10,
Napenda kwanza kukufahamisha kuwa hii ratio ya 20:80 kuonyesha uwiano baina ya Waislam na Wakristo katika kuhodhi nafasi katika serikali ya Tanzania si zangu mimi kama ulivyoandika.

Hii ratio ipo katika Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu wa Tanzania uliotolewa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Umesema kuwa mimi nimekoshwa na hatua ya serikali ya kutaka kujua dini na kabila.

Kwa kauli yako hii nachukulia kuwa jambo hili limekuudhi na ningependa kufahamu kwa nini hulipendi?

Unaweza kusoma waraka wa Shura ya Maimamu hapo chini:
 
Taarifa za hivi sio mpya kuombwa hapa Tanzania ila ni ukweli usiopingika HAZINA MAANA YOYOTE. Hata lile swali la kabila lako linalopendwa Guest na Wazee wa kuua kwa sindano ya sumu linapaswa liondolewe. I won't support this shit.
 
Nadhani hili sio jipya na ni usumbufu tu kwani mtu anapoajiriwa, taarifa hizo karibu zote hutakiwa kuzijaza sasa sijui kwanini wanaziomba upya.

Hata Polisi wanapochukua taarifa za wahalifu, huchukua taarifa zikiwemo za kabila la mtu na sijui ni kwanini.
Kipolisi nadhani kuulizwa kuhusu kabila kuna justification.

Kisheria, kwenye defences to criminal liability kuna defence moja inaitwa 'PROVOCATION' au KUGAFIRISHWA kwa tafsiri ya Kiswahili isiyo rsmi sana. Huu ni utetezi unaoweza kumsaidia mtuhumiwa kupewa adhabu ndogo Mahakamani au kuachiwa huru kabisa kutokana na kabila lake TU.

Ngoja nikupe mfano wa defence hii, ukimfumania mkeo/mumeo kitandani kwenu (matrimonial bed) anachakatana na mwanamke/mwanaume mwingine ukapandwa na hasira ukamjeruhi, hapa utakua umekuwa provoked Kisheria kwasababu ya kupandwa na hasira (heat of passion); hasira ambayo inatofautiana kati ya kabila na kabila au mtu na mtu.

Inaaminika Wakurya wana hasira kali na za haraka tofauti na wasukuma labda, ingawa wakati mwingine unaweza kukuta ni kinyume chake kwa kumkuta mkurya mpole lakini pia unaweza kukutana na msukuma mtata, hii itategemea na jinsi Mahakama itakavyopima.

Ninachotaka kusema ni kwamba kabila tu linaweza kukusaidia ukaachiwa huru kwa kuaminika kwamba watu wa kabila flani wana hasira za karibu.

Lakini hata kwenye kesi za ndoa kama talaka, kwa mfano kwenye ishu ya custody of children, kabla Mahakama haijaamua mtoto/watoto wakaishi na baba au mama, moja ya criteria ni kuangalia MILA NA DESTURI ZA KABILA HUSIKA, kwamba kwa kawaida wanandoa wanapoachana ni nani (baba au mama) anayestahili kubakia na watoto.

Naomba kubakia.
 
Habari wana JF ..

Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.

Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.

Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.

Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......

Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.

Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.

Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!

Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.

Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,

View attachment 2095758
Lengo ni kuwapunguza wakristo hazina hapo
 
Tanzania tumeingia kwenye mfumo wa uchifu na machifu hufanya matambiko, hivyo ni vyema mkajulikana makabila na dini zenu kwa ajili ya kufanikisha matambiko.
 
Huyu rais ni mdini na makabila (Uzanzibari) wa kupindukia. Nyerere alituonya mapema juu ya kuongozwa na watu waliofilisika kisiasa
 
Kwenye rekodi za serikali huwa hakuna dini wala kabila la mtu. Nyerere aliondoa hiyo zamani sana wakati taifa bado ni changa, na hata marais waislamu Mwinyi na Kikwete hawakuirudisha. Sasa tumepata mwislamu kamili ndiye anayeyaleta. Katika teuzi wake naona kipengele cha dini kimekuwa ni cha muhimu sana kwake; na ili kukihalalisha ndiyo maana ameunganisha na ukabila akianzia na kurudisha uchifu.

View attachment 2095774

Boss sio kweli mm wakati naanza ajira kuna kipengele kwenye mkataba wangu ajira za serikali kinauliza dini.Hili jambo sio jipya nashangaa kuona mleta mada analikuza kana kwamba limekuja leo.Au kwakuwa kwenye ajira za serikali ni mgeni.
 
Mama Samoa Luna watu wanamwangusha technically

Hizo fomu hicho kipengele cha dini na kabila kiondolewe

In hatari sababu kitawapa watu mianya ya kuoendeleana mfano bosi was Shirika au wizara akijua huyu dini yangu au kabila langu ataibua upendeleo hata kwenye ajira MTU anayeajiri aweza kitumia kuonea wengine kuwa ah huyu anayeomba kazi in kabila language akampendelea

Hayo yalikuwa yameondolewa naona yanarudishwa lengo nini?

Hata kwenye sensa yaliondolewa kuwa MTU asihojiwe kabila au dini yake .Waislamu siasa Kali walitaka kiwemo ili serikali iwasaidie kujua wako wangapi .Wakajibiwa nendeni mkajihesabu huko misikitini
Sasa naona serikali imeanza sensa ya kuhesabu waislamu wako wangapi

Hiyo mifomu yenye dini na kabila ilishaondolewa hiyo sehemu za ajira huyu mama anataka kuturudisha nyuma

Back
Top Bottom