greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Chige,Napata taabu kuamini kama hili suala ni kweli, na kama ni kweli basi aliye-propose na kulipitisha wote ni viumbe wapumbavu kupita maelezo! Na kama SSH analifahamu hili, na anaacha liendelee, basi nitamdharau sana kwa sababu ni jambo ambalo haliwezi kuwa justified kwa tafsiri yoyote ile!!
I wish hii thread nisingeiona mapema kwa sababu imeniharibia mood sana!
Dr...Makafiri kwenye ubora wenu, ila tulisha wajua hila zenu hamtusumbui kipindi cha mwendazake kulikuwa na namba kubwa ya makafiri lkn kwasababu waislaam tumejaliwa subra tukakaa kimya kuimba kupokezana mbwaa nyieee!!
Huwa unasifia kiiiilaa kitu!Endelea kusifu,guniooo!😝😝😝😝😝Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
View attachment 2095758
Katiba inatamka wazi kabisa kuwa serikali haina diniSasa serikali yako ikijua dini yako na kabila lako Kuna UBAYA!?
mbona hauulizi kwanini mnaambiwa muandike majina yenu?
Mtumishi wa umma ni mtu muhimu sana inabidi tumjue kwa undani kabla hatujampa ofisi yetuMahabusu in mhalifu anabidi ajulikane kwa undani
Katiba inatamka wazi kabisa kuwa serikali haina dini
Sasa inataka kujua dini ya nini? ni kuvunja katiba ya nchi
Haya maswali umeyafkiria vyema?Kwani serikali inafanya matambiko? Serikali inaswalisha? Kuna kitu gani cha kiimani au kikabila serikali inafanya kwenye hizo dharula?
Katiba inatamka wazi kabisa kuwa serikali haina dini
Sasa inataka kujua dini ya nini? ni kuvunja katiba ya nchi
Mke na mume wameomba pasipoti pamoja, mke ni msukuma na mume ni muha wa kigoma.Du aisee Lakini, kabla ya mama ukabila na udini bado ulikuwepo , ila kimya kimya , hasa Hawa wachaga na wasukuma na ndugu Yao jiwe ameleta sana udini, Kuna siku nasoma CV ya msukuma mmoja, nakuta kaweka kabila lake kwenye CV, ila nilikuwa kuona matokeo yake baada ya yeye kupata kazi na Mimi kukosa.
Hii issue ni sensitive! Ila wewe, mimi na yeye, tuna juwa kwamba Lilihitaji nani amfunge paka kengele! Bila hivyo hakuna uwiano wa kuridhisha! Kuna makundi yamekuwa ya kila makombo ya keki ya Taifa wakati mengine yana bwia keki nzima. Let's be realistic /honest.Mimi Bora wale rushwa watakavyo, ila wasiguse kabisa hii misingi midogo midogo inayofanya tuendelee kujiona wamoja.
Naumia siwezi hata kuelezea.
Pumbavu wewe. Unaweza kufanya kazi gani katika nchi yenye utashi wa kuzingatia dini na ukabila? Una akili kweli wewe? Hujui hata histori ya dunia, na kwa nini dunia iemkuwa iki admire our communal togetherness regardless our poverty? Msittake Tz kuwa kchwa cha mwenda wazimu, kila mtu anafanya majaribio ya iq yake. Nchi hii ina misingi. Na kama ninyi ndio meglikuwa waasisi wa taifa hili, pengine leo hii tusingekuwa tofauti ya nchi zinazopigana vita vya kikabila ama kidini.Tuliza wenge... Acha kazi tupate kazi.
Sio lazima kuja dini, unaweka kuweka deshi.Huu ni upumbavu na hatari kubwa!
Serikali inataka kujenga makanisa na misikiti? Serikali inataka kutengeneza taratibu za kufanya matambiko?
Mwalimu must be rolling in his grave!
Sio lazima kujaza dini, huwezi kulazimishwa kujaza ukiweka deshi.Tulizeni mishono dawa iwaangie, tuhuma za udini na ukabila kwenye taasisi za sirikali zimekithirini sana, sasa mama anachunguza je ni kweli ama laa? Hakuna ubaya kuchunguza tuhuma nzito kama hizo ,
Kama mbwai mbwai tu , lakini lazma tuchunguze na kuleta uwiano sawa kwenye sirikali, sio dini fulani au kabila moja mkurugenz hadi mfagiaji.
Keki ya taifa lazma watu wote wapate . Haki na usawa