Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Inashangaza hadi polisi wanatangazaga dini na kabila la mtuhumiwa sielewi zina umuhim gani
 
Huu ni muendelezo wa zile tulizojaza kipindi cha JPM, tukaambiwa ni few selected ndo tumechaguliwa kujaza au ni mpya?

Watu tlikuwa tunasubiria uteuzi!
 
Anataka ajue mkifa iwe rahisi kuwatambikia ... just kidding..
 
mbona kama hili suala kuna watu wamepanic sana.

Mamlaka zinataka utambuzi wa watumishi wake ili zikiwapanga kuwe na usawa..

Baada ya hapo wakuu wa kila taasisi wanapewa amri kuhakikisha kunakuwa na usawa maofisini na kwenye kutoa ajira...

Zipo taasisi zimejaa Wanyakyusa, Wahaya, Wachaga, Wasukuma nk..

SIONI SHIDA HAPO..tuache kulalama
Inapendeza sana kuona Sukuma GANG na Mataga ndio mnaishi katika mashaka na hofu kubwa.. Mungu Ametenda..!
 
Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.

Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.

Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.

Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.

Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.

Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Acha haya maneno yako. Mfumo Kristo ni upi? Serikali haina dini ila watu wake wana dini.
 
ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenu
Toka nchi ipate uhuru, TANU na CCM ndiyo watawala na Wachagga hatukuwahi kupungukiwa. Bado huko nje ya Tanzania amabapo hamna CCM kuna Wachagga pia.
 
Habari wana JF ..

Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mbona kwenye hospital na vitambulisho au polisi na kweti vya kuzaliwa yote hayo yanafanyika ,jipya ni nini?
 
Hii haiko sawa mfano kuna kasi kubwa vijana wengi kuoa au kuolea na makabila mengine. Ni vema tutengeneze kabila liitwalo mtanzania.
Na hii dini ya nini bora wailize magrupu ya damu
Tulitakiwa kama Taifa kuondoa kabisa haya maswali yanayoulizwa kuleta matabaka. Kabila la mtumishi wanalifanyia nini?
 
ivi kweli hiki ni kitu kipya???? mbona watanzania tuna lawama sanaaa..... mbona hizo ni taarifa za kawaida sanaaa tena baadhi ya watumishi huzijaza kila mwisho wa mwaka...

ulivyoandika ni kana kwamba hata huko shuleni ulikopitia hukuwahi kuliona hili... tena hadi vikundi vipo, huko maofisini mna hadi makundi ya kikabila

BADILIKA sio kila kitu Raisi, Raisi.....

ulisema hutakosoa so ishu zingine zote zinazoendelea kwako ni sawa ni hii ndo imekuumuza????
Sure kitu Cha kawaida Hadi polisi ama hospital unaulizwa.
Sasa si ni katika kukufahamu hauoni hapa mpaka wageni waoiojipachika uraia tutawajua mkuu.
Ila yeye analipigia kelele utadhani watu wake tz hawana ivyo vitambulisho.
Kama kabila linakuonyesha unatokea sehemu gani hapa Tanzania.
Mfano mtu amefariki tunasemaje ama kutangazaje Sasa.
Kuwa mtanzania mwenye jina Nyanungu mangucha amefariki ama ameiba.
Nadhani hata huyu hajasoma fomu wani bailoji Ile classification.
We classify living things up to family or scientific name.
Anza na human being sijui class animalia.
Identification ni muhimu sana.
 
Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...
You are so myopic. Una upeo mfupi sana.
 
Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...
You are so myopic. Una upeo mfupi sana.
Yaani unachosema ni just your perception. Sasa kwaniw watanzania hatuna makabila mkuu ama mbona unaogopa Sana kujulikana.
Ni ishu ya kawaida mbona.
Kwani Kuna hatari gani' ya kujulikana kabila lako.
Hauoni cheti Cha kuzaliwa kiasi kikubwa kimekaa katika kukufahamu ama haunacho.
Mbona hujaona suala la mamluki wanaozamia hapa nchini lakini.
Ama umevutiwa na hapo tu kwenye maziko.
Ama mengine yako sawa.
 
Back
Top Bottom