Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

Hii nchi ni kama vile hakuna plan za kazi.

Wanajua kuwa wana ugeni mkubwa lakini ilivyo ni kama kila taasisi inajiamulia kivyake, hakuna taarifa wala mpango wa jumla.

Mwingine anasema tafuteni njia mbadala, hapo hapo hakuna hizo njia mbadala. Mwingine anasema barabara zitafungwa kutozingatia kuna wakazi na watumiaji wa hizo barabara husika.

Ilikuwa jambo jepesi, kutangaza public holiday kwa siku 2 na wao waendelee na mambo yao.

Kanjibhai anataka ufike kazini Chang'ombe na unaishi Gongolamboto.
Barabara toka Airport mpaka Veta imefungwa. Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom