Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

wivu utawaua washenzi nyie.

kesho j3 naenda kusaini na kwenda kukaa kwenye mwembe kumpongeza mwigulu kwa kuandaa bajeti ya 41t na mei mosi ijayo mama anatoa neno na hakika hakuna atakayepunguliwa take home ya 50,000!!!
Take home ya elfu 50? in which currency dollar or TZS?
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Hoja nzuri lakini tatizo hapa siyo watumishi wa serikali peke yao, tatizo ni la Watanzania kwa ujumla wake. Ni kweli kuna watu kadhaa mmoja mmoja wanaweza kuwa wanafanya kazi inayostahili kwa siku mwaka mzima lakini kwa Tanzania idadi hiyo ni ndogo na inatofautiana sana kati ya sehemu moja ya Tanzania na nyingine; kwa mfano Kilimanjaro na Pwani au Njombe na Handeni. Maofisini na viwandani pia tunaguswa na ama kutokuwa na utamaduni wa kufanya kazi bila kusimamiwa au kuwa na mtazamo hasi wa kazi kutegemea makuzi, elimu, malipo yamepangwa kutegemea nini? Kwa hiyo kuanzia viongozi wetu wakuu, watumishi serikalini, viwandani na mashambani kwa wastani tunafanya kazi ya siku inayostahili kwa msimu tu. Wale Watanzania wanaojituma wakati wote ama wameendelea sana ama wameajiriwa nje au wameajiriwa humu humu ndani na mashirika ya nje au ya ndani yanayojali tija. Ndiyo maana vijana wetu wengi wanashindwa kwenye usaili wa kazi, wanashindwa kushindana na wafanyakazi wa nchi nyingine hata kwa kazi zinazohitaji misuli tu. Tazama tofauti ya huduma ya hotelini au baa hapa Tanzania na nchi jirani katika ujumla wake. Au tofauti ya utendaji wa Mawaziri, Katibu wakuu. Unaweza kwa ujumla ukaona kuna jambo la kujifunza na la kuliwekea mkakati; bila kusahau kiwango cha elimu yenyewe. Waziri au Katibu Mkuu mahiri anapatikana kwa bahati tu, si jambo la kawaida tena! Tunahitaji kuchangamka na kujitathmini. Tusiwe na utamaduni wa wizi wa kila kitu; mitihani, maswali ya usaili, kura nk.
 
Tafsiri hizi zotechanzo chake ni umasikini ipo chuki inajengeka kati ya kundi Moja na jingine .
 
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Tumewasikia vizuri. Kidogo kipindi cha mwendazake tulikuwa busy kwa kuogopa. Kwa sasa tutajirekebisha. Tutao huduma kwa kwa ueledi wa hali ya juu.

Hata ile huduma mbovu kwa wateja (customer care kwa Tanzania hasa ofisi za umma ni janga la nne la taifa) tutaifanyia kazi...yaani ukija kwa ofisi sasa utapokolewa kama Mfalme au Malkia kuonesha kuwa tunakujali mteja, tunajali muda wako, fedha na gharama zingine ulizotumia kufika ofisi zetu.

Bila ya ninyi umma wa watanzania sisi tusingekuwa na ajira, tunawajali na kuwapenda, zaidi tunaheshimu kodi zenu.

Tunalipenda Taifa letu, tunawapenda watanzania wenzetu. Karibu kuijenga Tanzania mpya yenye usawa na maendeleo yenye kumgusa kila mtu.
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.

Sio wote mazee. Kuna walimu wa masomo ya science kwenye sekondari zetu au hata masomo mengine kwenye shule za msingi na sekondari...hakika wanasota sana. Unakuta mtu ana vipindi hadi 40 kwa wiki, mbali na kuingia maabara kusimamia practicals.
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Technology ipo chini. Dunia ya kwanza unalipwa kutokana na kazi umefanya. Kama kuna kazi ya data unapangiwa muda wakuifanya na ukimaliza ndio unalipwa. Usipo malizw unalipwa ulipo ishia.. au unaongeza muda ila hulipwi. Wenzetu mifumo ya pc ipo connected na maisha yako kazin. Haupo kwa kiti pc inasoma muda haujaitumia. Customer ame log kitu system ina count muda unamuhudumia.. yani hakuna muda wakucheka na mtu au sim. Sales unapo toka unatakiwa na tracker ambayo ipo kwa sim. Ukisema leo nipo kinondoni gsm ngoma inasoma naku confimr na schedule yako ya siku ambayo ipo kwa pc. Bos amekua assign task shirika fulani lazima ufike na system ina detect nakutuma taarifa muda umefika na muda umeondoka na ukirudi unaandaa report with what u have assigned kama kazi ya one hrs wewe umekaa 2 hrs ur under efficient... That is why dunia ya kwanza watu hawana muda wakuongea njiani au kwenye basi.. yani watu wanakimbia kuliko saaa... Yani speed yako yakazi na umakini na akili ndio utajiri wako hakuna mission town kama bongo. Bongo asie fanya kszi ndio ananyumba nzuri na gari.
 
Bongo Hakuna pesa za kuwalipa watu inavyotakiwa na ndio maana wengi wanafanya kazi kwa kujitolea tu na wanaishia wanapoweza.

Mfano, mtu analipwa Tsh 300,000.

Haya tuambie hiyo Ni Nauli, Ni mshahara, extra duty, pesa ya usafiri, chakula au Kodi ya nyumba?

Kuna vitu unatakiwa kutumia akili tu.

Utumishi wa umma siyo JELA.
 
Masaa hapa bongo hawawezi kulipa maana uchumi wa kitoto!

Kumlipa mtu kwa masaa sio mchezo sababu tu kama utalipa standard ya elfu 10 kila lisaa kwa mtumishi wa kawaida ina maana umlipe mtu elfu 80 kila siku.

Kwa mwezi mzima mtu yule yule uliokuwa unamlipa laki 4 utatakiwa umlipe mtu 2.4M serikali ipi hio ya kukubali hilo? Hii hii ya CCM?

Hapo ndo umeharibu kutaja chama. Kwani hivyo vyama vya upinzani watalipa hela wanatoa wapi. Ujinga mwingi sana kwenye hoja nzito.
 
Mtumishi wa Uma akiwajibika kwa asilimia 100 ujue serekali yako itakuwa mufilisi. Usidhani kwa serekali haijui ila uwajibikaji utaambatana na gharama zilizo nje ya mshahara. Kazi zinafeli kwa sababu utaambiwa transport kutoka kwa mkurugenzi ni issue. Na Mambo mengine kadhaa. Wapo watu wanafanya kazi ht nje ya muda wa kazi na hata hawalipwi, watu wanafanya kazi siku za wkeend kiroho safi tu bila posho na Wala hayo hamsemi.
 
IMG_20220313_125632_848.jpg
 
Tuta
Acheni wivu wakuu watumishi ndio watumiaji wazuri wa hela na wanafanya pesa izunguke..... mfanyabiashara wa duka kwa siku faida haizidi 50000 hawezi kwenda bar kutumia laki ila mtumishi kawaida TU kutumia hata laki mbili kwa siku moja....
Tutajie sifa za watumishi watakaopandishwa madaraja mwaka huu 2022
 
Back
Top Bottom