reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Opras zinafanyiwa kazi?kwanza bora mama alivosema zirekebishwe upuuzi mtupuKuna kitu inaitwa OPRAS, ukiona mtu anazurura ujue keshatimiza malengo alowekewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Opras zinafanyiwa kazi?kwanza bora mama alivosema zirekebishwe upuuzi mtupuKuna kitu inaitwa OPRAS, ukiona mtu anazurura ujue keshatimiza malengo alowekewa
Sasa unavyosema hivyo nchi wanaofanya asana kazi ni akina nani? Wewe au?Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake. Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Acha Wivu,,Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake. Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
🤣🤣🤣🤣umeniigaLeo nilipokuwa kazini ilibidi niangalie kila mfanyakazi anachokifanya akiwa kazini. Nimebaini mtoa mada kaandika ukweli.
Kweli kabisa ! You nailed it !!!You are right..
Lakini pia kuna utofauti Mkubwa wa challenges & motivation factors kati ya mfanyakazi wa sekta binafsi na ya umma...
Hebu twende na mifano michache. Hapa tuna mfanyakazi (askari) wa kikosi cha Zimamoto. Gari la maji ya kuzimia moto liko pale. Kunatokea emergency ya moto somewhere near where you are living. Wafanyakazi wapo lakini vitendea kazi hakuna. Gari halina mafuta ya kuliendesha. Au haliwezi kabisa kutembea kwa sababu halijawa serviced kwa muda mrefu. Ukiuliza unaambiwa hakuna fedha ya mafuta wala service kwa sababu serikali haijatoa hela....!!!
Katika mazingira haya mfanyakazi akilala tu kazini au akienda kutafuta chakula kwa masaa 6 utamshangalia nini? Na hata ukimpa KPI bila vitendea kazi utapata matokeo gani...?
Aidha, katika sekta ya umma ni ngumu sana kuwa na wafanyakazi wenye moyo wa kujituma kwenye public sector kama kunakuwa na utofauti mkubwa wa viwango vya madaraja ya malipo kwa watu walio na kiwango sawa cha elimu tofauti ikiwa ni huyu ni mwalimu, mwingine askari na mwingine daktari nk nk...
Nenda kwa wanasiasa kuanzia ngazi ya mawaziri, wakuu wa idara, maDC, MaRC, wabunge nk nk yaani wamejipangia mishahara na marupurupu makubwa kiasi cha mara 100 au hata 200 cha kiwango cha mshahara wa mwalimu Grade A au Nesi mwenye stashahada...
Na wakati mwingine huyu mbunge au DC au RC anazidiwa kwa mbali sana kielimu na hawa ambao anawasimamia na kuwatungia sheria na sera mbalimbali....
Kinachotakiwa siyo hiki cha kulalamika. Ni kufanyika kwa mageuzi makubwa ktk sekta ya utumishi wa umma. Kusiwe na tofauti kubwa kivile kwa malipo kama ilivyo sasa, kwamba kuna mwingine analipwa 400,000 kwa mwezi na kuna wengine wanavuta hadi 30,000,000....!!
This is completely not fair at all. Katika mazingira haya lazima tu kuwe migogoro mingi msingi wake ukiwa ni tofauti ya kimaslahi miongoni mwa watumishi wa umma...
Toa mfano hai isije kuwa shetani kapanda kichwaniUnakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Hivi unajua Auditors wanapita mara ngapi kwenye sector za umma muraSahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.
Kingine hakuna targets za watumishi wa umma , na kama zipo basi hakuna follow up ya nn kimefanywa na nani na nani hajafanya nini.
Ushauri wangu, HR departments za utumishi wa umma wa ige kwenye private companies suala la performance management process.
Hili litabadilisha kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena akiwa jirani anawaroga Hadi watoto wa mtumishiKabisa mkuu...
Watu wasio watumishi wana kinyongo sana na watumishi
ndiyo uzuri wa serikali ya CCM, kulipa mishahara watu ili wasifanye kazi. Ndiyo sababu watumishi wote wa serikali ni makada wa ccmUnakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Mishahara ama ipunguzwe, au watumishi wapunguzwe. Ni kada mbili tu ambazo walau wanafanya kazi kwa muda mrefu, walimu na nurses. Hata madaktari wanaenda kusign vitabu vya mahudhurio, kusimamia vipimo vya wagonjwa wenye ahadi nao na kuwahi kwenye zahanati au maduka yao ya dawa.Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Yaani unamkuta mtu lets say kama Afisa Maendeleo anasimamia Tarafa nzima.au Kuna kata kubwa kweli hata tatu.Ila kweli pesa Ni kiduchu sna mnazopokea