Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Halafu wanafunzi mnawaambia wachange kwa ajili ya chakula wakati hawana mishahara. Wafanyakazi unaiambia serikali iwape chai na chakula wakati wanalipwa.Ndio hivyo serikali itoe chakula na chai ili wtumishi wasitoke kwenda kufanya hivyo vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kichwa kinatumika kufuga nywele tuu.