Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.

Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Kuna kitu inaitwa OPRAS, ukiona mtu anazurura ujue keshatimiza malengo alowekewa
 
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Kaka mshana miaka mi 3 au kumi hajafanya chochote ni taasis gani watumish wame relax hivyo?
 
Watu wanafanya kazi kulingana na kipato wanacholipwa.

Sasa mtu unamlipa Tsh 419,000 na Take home 350,000/-

Hakuna allowance yoyote ya nyumba, chakula Wala usafiri Wala extra duty.

Sasa wewe unataka afanye kazi kama Yuko Jela.

Kwani Utumishi wa umma Ni ADHABU???
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.

Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Sahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.

Kingine hakuna targets za watumishi wa umma , na kama zipo basi hakuna follow up ya nn kimefanywa na nani na nani hajafanya nini.

Ushauri wangu, HR departments za utumishi wa umma wa ige kwenye private companies suala la performance management process.

Hili litabadilisha kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi,,Watumishi wa umma Wengi hawafanyi KAZI wapo wapo tuuu...Nenda TCRA,TBS,BRELA,Halmashauri huko Ndio usiseme..Sioni tija ya Watumishi wa umma..Wamejazana maofisini tuuu na matai makubwa...
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.

Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Naunga mkono hoja, kwanza mfumo wa utumishi upitiwe upya, ajira ziwe za mikataba miaka 5 ukifanya vizuri uongezewe mitano ya mwisho hata tatizo la ajira litaisha
 
Sahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.

Kingine hakuna targets za watumishi wa umma , na kama zipo basi hakuna follow up ya nn kimefanywa na nani na nani hajafanya nini.

Ushauri wangu, HR departments za utumishi wa umma wa ige kwenye private companies suala la performance management process.

Hili litabadilisha kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kulazimisha HAKI kutoka kwa mtu ambaye wewe mwenyewe humtendei HAKI.

Mfano, shule labda in walimu wawili tena katika mazingira magumu.

Au Zahanati ina CO mmoja au Nurse Wawili, wanafanya kazi SAA 24 bila extra duty zozote.

Kwanza hata kazi zenyewe WANAJITOLEA sana.
 
Ni ngumu sn maana wengi ni ndugu wa wakubwa huwezi kuwafanya kitu, ni kama traffic hakuna ambaye hajui kama wanachukua rushwa hata ma-RPC wanakiri lakini wanaletwa na akina nani pale? dawa ni kufumua mfumo mzima wa ajira mtu apimwe asipofika 80% ya malengo awe amejitoa mwenyewe
 
Ni ngumu kulazimisha HAKI kutoka kwa mtu ambaye wewe mwenyewe humtendei HAKI.

Mfano, shule labda in walimu wawili tena katika mazingira magumu.

Au Zahanati ina CO mmoja au Nurse Wawili, wanafanya kazi SAA 24 bila extra duty zozote.

Kwanza hata kazi zenyewe WANAJITOLEA sana.
Ajira zingekuwa ni za mikataba watu wangewajibika sn, nyingi ni ruhusa, ED, masomoni, utoro n.k
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.

Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Acha Wivu, wanafanya kazi kubwa, na niwalipaji wa Kodi wazuri ya Kila Mwezi na Kodi Zingine wanalipa pia
 
Mkuu unatakiwa utoe mfano wa huyo mtumishi wa umma.

Maana watu wanakuona una wivu tu..

Kwa mfano afisa mtendaji wa kijiji au kata unataka muda wote akae ofisini?

Unataka asile??

Au unataka Rais naye asipewe mshahara kwa kuwa hakai Ikulu muda mwingi?
 
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.

Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.

Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.

Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.

Hii nchi dah.
Watumishi wa Nchi gani hao? Wewe unashauri nini? Afu usidhani kukaa ofisi mda wote ndio kufanya Kazi Sana.

Pia Kazi zinatofautiana.Pole.kwa yaliyokukuta,na wewe una tija gani hapo ulipo?
 
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.

Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Machadema mna shida sana,na nyie tuonyesheni output yenu Ili tuwa gage

Mwisho kwa salary ipi ya maana ya kumkeep staff masaa 8 ofisini?
 
Back
Top Bottom