Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Of course, Watumishi wa umma hawapendwi na Jamii. Wanna maadui wanaojichekesha kinafiki tu wakiwaona.Mkuu unatakiwa utoe mfano wa huyo mtumishi wa umma.
Maana watu wanakuona una wivu tu..
Kwa mfano afisa mtendaji wa kijiji au kata unataka muda wote akae ofisini?
Unataka asile??
Au unataka Rais naye asipewe mshahara kwa kuwa hakai Ikulu muda mwingi?
Na ndio maana Wanasiasa ili kuwafurahisha Wananchi huwa wanafanya Watumishi kama PUNCHING BAG aka STEPPING STONE.
Tena bila sababu za Msingi.
Muhimu ukishajua Hilo, ishi na kwa AKILI.
Nakumbuka Kuna kipindi KIHAMIA alitumbuliwa NEC akapewa kuwa DC.
Basi MUDA wote akawa anatembea na LUNDO LA WAANDISHI wa HABARI kwenda kutumbua WATUMISHI hasa Watendaji Kata na Vijiji, wamekaa sana CELLO🤣🤣
Hii Ni kuonesha kuwa ANACHAPA sana KAZI. Baada ya muda akawa RAS Kilimanjaro.