kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Take home ya elfu 50? in which currency dollar or TZS?wivu utawaua washenzi nyie.
kesho j3 naenda kusaini na kwenda kukaa kwenye mwembe kumpongeza mwigulu kwa kuandaa bajeti ya 41t na mei mosi ijayo mama anatoa neno na hakika hakuna atakayepunguliwa take home ya 50,000!!!
Hoja nzuri lakini tatizo hapa siyo watumishi wa serikali peke yao, tatizo ni la Watanzania kwa ujumla wake. Ni kweli kuna watu kadhaa mmoja mmoja wanaweza kuwa wanafanya kazi inayostahili kwa siku mwaka mzima lakini kwa Tanzania idadi hiyo ni ndogo na inatofautiana sana kati ya sehemu moja ya Tanzania na nyingine; kwa mfano Kilimanjaro na Pwani au Njombe na Handeni. Maofisini na viwandani pia tunaguswa na ama kutokuwa na utamaduni wa kufanya kazi bila kusimamiwa au kuwa na mtazamo hasi wa kazi kutegemea makuzi, elimu, malipo yamepangwa kutegemea nini? Kwa hiyo kuanzia viongozi wetu wakuu, watumishi serikalini, viwandani na mashambani kwa wastani tunafanya kazi ya siku inayostahili kwa msimu tu. Wale Watanzania wanaojituma wakati wote ama wameendelea sana ama wameajiriwa nje au wameajiriwa humu humu ndani na mashirika ya nje au ya ndani yanayojali tija. Ndiyo maana vijana wetu wengi wanashindwa kwenye usaili wa kazi, wanashindwa kushindana na wafanyakazi wa nchi nyingine hata kwa kazi zinazohitaji misuli tu. Tazama tofauti ya huduma ya hotelini au baa hapa Tanzania na nchi jirani katika ujumla wake. Au tofauti ya utendaji wa Mawaziri, Katibu wakuu. Unaweza kwa ujumla ukaona kuna jambo la kujifunza na la kuliwekea mkakati; bila kusahau kiwango cha elimu yenyewe. Waziri au Katibu Mkuu mahiri anapatikana kwa bahati tu, si jambo la kawaida tena! Tunahitaji kuchangamka na kujitathmini. Tusiwe na utamaduni wa wizi wa kila kitu; mitihani, maswali ya usaili, kura nk.Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Tumewasikia vizuri. Kidogo kipindi cha mwendazake tulikuwa busy kwa kuogopa. Kwa sasa tutajirekebisha. Tutao huduma kwa kwa ueledi wa hali ya juu.Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Technology ipo chini. Dunia ya kwanza unalipwa kutokana na kazi umefanya. Kama kuna kazi ya data unapangiwa muda wakuifanya na ukimaliza ndio unalipwa. Usipo malizw unalipwa ulipo ishia.. au unaongeza muda ila hulipwi. Wenzetu mifumo ya pc ipo connected na maisha yako kazin. Haupo kwa kiti pc inasoma muda haujaitumia. Customer ame log kitu system ina count muda unamuhudumia.. yani hakuna muda wakucheka na mtu au sim. Sales unapo toka unatakiwa na tracker ambayo ipo kwa sim. Ukisema leo nipo kinondoni gsm ngoma inasoma naku confimr na schedule yako ya siku ambayo ipo kwa pc. Bos amekua assign task shirika fulani lazima ufike na system ina detect nakutuma taarifa muda umefika na muda umeondoka na ukirudi unaandaa report with what u have assigned kama kazi ya one hrs wewe umekaa 2 hrs ur under efficient... That is why dunia ya kwanza watu hawana muda wakuongea njiani au kwenye basi.. yani watu wanakimbia kuliko saaa... Yani speed yako yakazi na umakini na akili ndio utajiri wako hakuna mission town kama bongo. Bongo asie fanya kszi ndio ananyumba nzuri na gari.Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Bongo Hakuna pesa za kuwalipa watu inavyotakiwa na ndio maana wengi wanafanya kazi kwa kujitolea tu na wanaishia wanapoweza.Technology ipo chini. Dunia ya kwanza unalipwa kutokana na kazi umefanya. Kama kuna kazi ya data unapangiwa muda wakuifanya na ukimaliza ndio unalipwa. Usipo malizw unalipwa ulipo ishia.. au unaongeza muda ila hulipwi. Wenzetu mifumo ya pc ipo connected na maisha yako kazin. Haupo kwa kiti pc inasoma muda haujaitumia. Customer ame log kitu system ina count muda unamuhudumia.. yani hakuna muda wakucheka na mtu au sim. Sales unapo toka unatakiwa na tracker ambayo ipo kwa sim. Ukisema leo nipo kinondoni gsm ngoma inasoma naku confimr na schedule yako ya siku ambayo ipo kwa pc. Bos amekua assign task shirika fulani lazima ufike na system ina detect nakutuma taarifa muda umefika na muda umeondoka na ukirudi unaandaa report with what u have assigned kama kazi ya one hrs wewe umekaa 2 hrs ur under efficient... That is why dunia ya kwanza watu hawana muda wakuongea njiani au kwenye basi.. yani watu wanakimbia kuliko saaa... Yani speed yako yakazi na umakini na akili ndio utajiri wako hakuna mission town kama bongo. Bongo asie fanya kszi ndio ananyumba nzuri na gari.
Masaa hapa bongo hawawezi kulipa maana uchumi wa kitoto!
Kumlipa mtu kwa masaa sio mchezo sababu tu kama utalipa standard ya elfu 10 kila lisaa kwa mtumishi wa kawaida ina maana umlipe mtu elfu 80 kila siku.
Kwa mwezi mzima mtu yule yule uliokuwa unamlipa laki 4 utatakiwa umlipe mtu 2.4M serikali ipi hio ya kukubali hilo? Hii hii ya CCM?
Huo ni mfano tu mkuuHapo ndo umeharibu kutaja chama. Kwani hivyo vyama vya upinzani watalipa hela wanatoa wapi. Ujinga mwingi sana kwenye hoja nzito.
Tutajie sifa za watumishi watakaopandishwa madaraja mwaka huu 2022Acheni wivu wakuu watumishi ndio watumiaji wazuri wa hela na wanafanya pesa izunguke..... mfanyabiashara wa duka kwa siku faida haizidi 50000 hawezi kwenda bar kutumia laki ila mtumishi kawaida TU kutumia hata laki mbili kwa siku moja....