Mkiwa na msururu wa madeni ya nguo na mapochi bila kusahau viatu aka skuna.Mnaongoza kwa mikopo kwenye Taasisi ndogo za fedha kuanzia saccos mpaka vicobaWalimu tuna haiba ya ustaha na aibu kuombaomba lakini siyo kwamba hatuishiwi ni ile tu tunatumia kwa level yetu ya salary ndogo yenye kulengwa na machoz
Huwa nawapa bila riba nimegundua napoteza fedha nyingi sana kwao, hivyo nimeamua kutowakopesha tena wakitaka pesa sasa nitawaambia waende kwenye taasisi za mikopo pia mazoea yanapelekea wengi kutokurudisha pesa kwa wakati.Mkuu, au unakopesha kwa riba?!!
Nilihitaji kufahamu juu ya hili...walimu wanaongoza kudumisha ndoa kuliko fani zinginePongezi za dhati kutoka kwangu, mna nidhamu ya fedha sana pia ndoa nyingi ambazo zinahusisha mwalimu huwa zinadumu sana sijajua mna siri gani ya kipekee kiasi hicho?
Ukinipigia mimi simu ujue unaomba nikuongezee mtaji.Ulitaka upigiwe simu wewe boss? yote kheri lakni
Na mimi naweza kuja mkuu kwa ajili ya ujira? Hali mbaya.[emoji17]Ukija nitakupa kazi halafu nitakulipa ujira kidogo, muogope sana mtu anaekupa pesa bure huyo hakutakii mema katika maisha yako.
Hapana kuna mmoja tunasumbuana ana pesa yangu nyingi, hivyo ameondoka na wema wangu wote. Sitoazima ama kukopesha mtu fedha tena sasa hivi mawajibu sina fedha ya kukopesha kama urafiki uishe tu maana wengine wanaendekeza sana urafiki mwisho wa siku hawarudishi fedha.Na mimi naweza kuja mkuu kwa ajili ya ujira? Hali mbaya.[emoji17]
Sawa mkuu.Ila sijaomba pesa.Nimeomba kazi kama ipo.Hapana kuna mmoja tunasumbuana ana pesa yangu nyingi, hivyo ameondoka na wema wangu wote. Sitoazima ama kukopesha mtu fedha tena sasa hivi mawajibu sina fedha ya kukopesha kama urafiki uishe tu maana wengine wanaendekeza sana urafiki mwisho wa siku hawarudishi fedha.
Watumishi wengi hawana nidhamu ya matumizi wanatumia pesa vibayaNi watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi.
Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali?
Niwaase watumishi, pindi mnapopata mishahara yenu muache kutumia hovyo kwenye mabaa na kuhonga wanawake hovyo pasipo kufanya seaving ya 40% ya kile unachopata mwisho wa mwezi, maana kwa simu za leo nimejisikia vibaya mno na mwisho nimeshindwa kuwaelewa? Kama hiyo mishahara mnayolipwa inawatosha kweli au ni vile mmeridhika na maisha ya mishahara kwamba mna uhakika wa kuupata kila mwisho wa mwezi, na imewapelekea nyie kubweteka pasipo kufikiria kuwa na kitu cha ziada cha kuwaingizia kipato?
Ushauri kwenu mjitahidi kubadilika muishi kulingana na kipato chenu, hizi starehe mnazofanya mjini mkumbuke zina mwisho mbaya mtakuja kukumbuka umri umewatupa mkono na hakuna cha maana mlichofanya pindi mkiwa watumishi.
Mwisho kabisa niwapingeze waalimu, katika watumishi wa serikali hawa wanaongoza kuishi ndani ya mishahara yao, sijawahi kuwasikia wakililia shida kama watumishi wengine, popote mlipo walimu pokeeni pongezi zangu za dhati.
Kwa hiyo hao watumishi huwa unawapa kazi gani?Ukija nitakupa kazi halafu nitakulipa ujira kidogo, muogope sana mtu anaekupa pesa bure huyo hakutakii mema katika maisha yako.
Unajua 40% ya salary ya mfanyakazi wa serikali? Sijaajiriwa ila 40% ni ndoto, hujaoa/hujaolewa, huna watoto, huna dependants, huna school fees wala house rent, huna wazazi ndio maanakuhonga wanawake hovyo pasipo kufanya seaving ya 40% ya kile unachopata mwisho wa mwezi,
Huyu kama sio dent ni bahatiKwa hiyo hao watumishi huwa unawapa kazi gani?
Huna lolote unafiki tu..itakua wewe ni mwalimu..kwanza walimu ndio wakopaji wa kubwa wamejaa madeni kila mahali.Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi.