Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
 
[emoji16]
 
Wabunge ambao minimum qualification kuukwaa huo uheshimiwa ni kujua kusoma na kuandika Kk mbona wanalipwa mamilioni ?Mimi ninachoona tatizo ni serikali kuwadharau sana watumishi wa umma kwani hawana cha kuifanya eg mbona kuna walimu graduate wameishia kupokea laki tano plus
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Na pia kuna watumishi wenye elimu ndogo ila wanafanya kazi au majukumu yao ni makubwa kuliko hata wenye elimu kubwa na wanalipwa kidogo
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
WATUMISHI NI WABABAISHAJI KAZI HAWAFANYI RUSHWA KUSHINDA MITANDAONI WALICHOZALISHWA HAKIONEKANI Eti Wanataka Mishahara Mikubwa Kwa TUJA GANI?
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Education gives you Certificate while Knowledge gives life na hapa ndipo taifa linapoangamia unakuta police anapanda cheo kisa anadegree ya kiswahili sio Kwa kucreate model mpya kupambana na uhalifu Fulani
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Tukanane tu time will tell.hakuna mwenye imani na viongozi wa nchi hii tena.tusubiri uchaguzi tu tumalizane,wazee wenye weledi anzisheni chama tuwapigie kura sababu mavyama tuliyonayo ni bogus hayana credibility.
 
Unda wewe Chama chako.
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Bado unaishi enzi za ujima sana, Huko Duniani wanaangalia Out Put na sio eleimu, nisha wahi fanya kazi NGO moja na Dasa mmoja alikuwa na Certficate ila alikuwa ana waburuza watu wenye Masters zao, Dada alikuja kupandishwa cheo mpaka kuwa Asisitance country Director.

Hivyo wewe nazani bado unaabudu vyeti
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Ebu Nenda Tra, Tanroads, TCAA, TPA, Tanapa, latra,Pura, tiper, ewura, PSSPF, shipping Agency, tarura, tanesco, Compare and Contrast. O level leaver ana Mshahara Mkubwa kuliko Bachelor holder wa Tamisemi. Magufuli alisema atabalance lakini hakuweza. Fringe benefits zao hajagusa : Nyumba, transport, Communication nk.
 
SA kima cha chini ni Rand 5000 huyo ni mfanyakazi wa mashambani.
Tanzania CCM imewaroga mdhani umaskini ndio uzalendo.
Wewe ushaenda huko ? Kawaulize wenzio waliowahi huko masahibu wayapatayo[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mwengine la saba B kaunga zayoni kapata bahati ya kazi ya kuhesabu meter za maji Daa. Nae anataka aongezewe 😂😂😂
 
Daah ajabu unaweza kuta et na wewe ni degree holder kabisa Tena toka Udsm.

Swali dogo tu ,msukumu ni la Saba lakin anakula mshahara wa Bei gani?
Jahpeople Ana elimu gani had alambe 12m per month?
Elimu gani unayoisema wewe chawa wa ccm ? Ukipangua safu ya viongozi wengi wa serikali hii ya ccm elimu zao ni za hapa na pale lakin wanamiliki misinagogi ya kufa mtu.
Muda mwingine upunguzage upumbavu na najua mmetumwa kupima upepo wa watumishi wa umma kwa kutaka kuzima uhuni wenu kwa mbinu za kishamba.
Mwbieni mama yenu kuwa amelikoroga tayari ,wafanyabiashara hasa machinga hawamtaki kabisa ,kaja kuharibu na kwa watumishi wa umma balaa lake atakuja liona huko mbeleni .
Magu nae alikua kibri Kama huyu alivyoanza lakin raia wakalia kimya kimya machoz yao yakasikilizwa na mungu saiz anatafunwa na funza pale chato.

Hata huyu mama yenu 2025 hatoboi na Kama anategemea kuiba Ila mungu atamjibu km mwenzie ,tushachezewa Sana na wanasiasa wa nchi hii soon kila kitu kinaenda kujibiwa mbwa nyie
 
Back
Top Bottom