Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge sio Mtumishi wa Uma mkuu!Wabunge ambao minimum qualification kuukwaa huo uheshimiwa ni kujua kusoma na kuandika Kk mbona wanalipwa mamilioni ?Mimi ninachoona tatizo ni serikali kuwadharau sana watumishi wa umma kwani hawana cha kuifanya eg mbona kuna walimu graduate wameishia kupokea laki tano plus
Ni mtumishi wa nani kama siyo umma ......??... unajua maana ya umma??Mbunge sio Mtumishi wa Uma mkuu!
Ukiona hadi miaka ya leo kuna mjinga mmoja bado anatukuza elimu na kuamini ndio muongozo wake wa maisha na kipato basi mtu huyo bado ni mjinga na ni maskini wa akili zama hizo zimesha pita.Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Mkuu, Mtumishi wa Umma ni mtumishi ambaye amekuwa registered kwenye database ya serikali kama employee, Mbunge ni nafasi ya Kisiasa.. sio sawa na Mwl. Ama Daktari.Ni mtumishi wa nani kama siyo umma ......??... unajua maana ya umma??