Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
[emoji16]Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Bandarini 1.7MMtumishi wa umma mwenye certificate analipwa kiasi gani?
AiseeBandarini 1.7M
Na pia kuna watumishi wenye elimu ndogo ila wanafanya kazi au majukumu yao ni makubwa kuliko hata wenye elimu kubwa na wanalipwa kidogoWatumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
WATUMISHI NI WABABAISHAJI KAZI HAWAFANYI RUSHWA KUSHINDA MITANDAONI WALICHOZALISHWA HAKIONEKANI Eti Wanataka Mishahara Mikubwa Kwa TUJA GANI?Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Education gives you Certificate while Knowledge gives life na hapa ndipo taifa linapoangamia unakuta police anapanda cheo kisa anadegree ya kiswahili sio Kwa kucreate model mpya kupambana na uhalifu FulaniWatumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Tukanane tu time will tell.hakuna mwenye imani na viongozi wa nchi hii tena.tusubiri uchaguzi tu tumalizane,wazee wenye weledi anzisheni chama tuwapigie kura sababu mavyama tuliyonayo ni bogus hayana credibility.Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Unda wewe Chama chako.Tukanane tu time will tell.hakuna mwenye imani na viongozi wa nchi hii tena.tusubiri uchaguzi tu tumalizane,wazee wenye weledi anzisheni chama tuwapigie kura sababu mavyama tuliyonayo ni bogus hayana credibility.
Bado unaishi enzi za ujima sana, Huko Duniani wanaangalia Out Put na sio eleimu, nisha wahi fanya kazi NGO moja na Dasa mmoja alikuwa na Certficate ila alikuwa ana waburuza watu wenye Masters zao, Dada alikuja kupandishwa cheo mpaka kuwa Asisitance country Director.Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Ebu Nenda Tra, Tanroads, TCAA, TPA, Tanapa, latra,Pura, tiper, ewura, PSSPF, shipping Agency, tarura, tanesco, Compare and Contrast. O level leaver ana Mshahara Mkubwa kuliko Bachelor holder wa Tamisemi. Magufuli alisema atabalance lakini hakuweza. Fringe benefits zao hajagusa : Nyumba, transport, Communication nk.Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Wewe ushaenda huko ? Kawaulize wenzio waliowahi huko masahibu wayapatayo[emoji41][emoji41][emoji41]SA kima cha chini ni Rand 5000 huyo ni mfanyakazi wa mashambani.
Tanzania CCM imewaroga mdhani umaskini ndio uzalendo.