Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

Mbunge sio Mtumishi wa Uma mkuu!
 
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.

Ni huzuni.

Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.

Diploma naye hivyo hivyo.

Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Ukiona hadi miaka ya leo kuna mjinga mmoja bado anatukuza elimu na kuamini ndio muongozo wake wa maisha na kipato basi mtu huyo bado ni mjinga na ni maskini wa akili zama hizo zimesha pita.
 
Ni mtumishi wa nani kama siyo umma ......??... unajua maana ya umma??
Mkuu, Mtumishi wa Umma ni mtumishi ambaye amekuwa registered kwenye database ya serikali kama employee, Mbunge ni nafasi ya Kisiasa.. sio sawa na Mwl. Ama Daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…