Tetesi: Watumishi wenye Elimu ya Darasa la Saba walioajiriwa kuanzia 2004 waondolewa kazini

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,268
Reaction score
1,611
Hali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004.

Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll ya serikali na inasemekana hata mshahara wa mwezi huu wa saba hawajalamba.

Kuna kituo X cha kazi jumla ya wafanyakazi 17 wameliwa vichwa.
 
Anajenga Tanzania ya viwanda,! Sasa wale mafundi/technicians ambao wana uzoefu mkubwa badala ya kuwahamishia viwandani anawafukuza?

Tanzania ya wasomi hii sasa japo usomi unaweza ukawa kwenye vyeti bila uzoefu muhimu.
 
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, hiiiii ni mbinu ya kupunguza watumishi hawa watu wamempigania sana ila mmmmmmmmmh.....
 
Kwa Kifupi darasa la saba wote Waliokula Ajira za Mpendwa Jakaya hawatakiwi 2005-2015, 2004 hapakuwa na Ajira !
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, hiiiii ni mbinu ya kupunguza watumishi hawa watu wamempigania sana ila mmmmmmmmmh.....
Umeona mkuu, naamini mpaka sasa hivi kila familia mojamoja humu Tz imeshasomeshwa namba tayari, nakuambia 2020 hapatoshi Tz, labda asitokee mtu mwingine mwenye akili yenye nguvu humu Tz ili kugombea urais,
 
Namba hapo ndiyo tunamalizia za tarakimu muda si mrefu, tunaenda kuanza kusoma za kirumi!

Fungeni pumzi na kazeni mikanda.
 
Kazini kwetu leo mbaba mmoja alikuwa anahangaika haoni mshahara .
Duuuuhhhh, nikamtia moyo ila nadhani wamemlima. Wiki hii ana safari ya kikazi sijui atakuwa na morali au .
 
Anajenga Tanzania ya viwanda,! Sasa wale mafundi/technicians ambao wana uzoefu mkubwa badala ya kuwahamishia viwandani anawafukuza?

Tanzania ya wasomi hii sasa japo usomi unaweza ukawa kwenye vyeti bila uzoefu muhimu.
Kuanzia mwaka 2000 criteria ya kuajiriwa ilikuwa ni form four.
 
Back
Top Bottom