Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuna mambo yananiumagaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmmmmDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, hiiiii ni mbinu ya kupunguza watumishi hawa watu wamempigania sana ila mmmmmmmmmh.....
We acha kegel rais ni mpendwa kwa kila mtu lkn kwa hili hapana aisee.
Hakuna hicho kitu msilete uchochezi kwa Rais wetu mpendwa.
Hapa kazi tu.
Halafu rais anawaambieni zalisheni tu, yeye atasomesha.Acha tu mkuu rudi nyuma miaka iyo ya 2004
Mtu ukimaliza std 7 unaweza kwenda veta ukapiga ata udereva uselemara ufundi wa magar ama ata computer Na unakua competint kabisa Na unaajira afu unakuja toka kwa style Kama hii mkuu ni hatar sana
Umeona mkuu, naamini mpaka sasa hivi kila familia mojamoja humu Tz imeshasomeshwa namba tayari, nakuambia 2020 hapatoshi Tz, labda asitokee mtu mwingine mwenye akili yenye nguvu humu Tz ili kugombea urais,
Hao waliotoa ajira wakati kulikuwa na Katazo la kutoajiri std seven Serikali ni tena, Adhabu yao nini? Unakaa na Mtumishi miaka nenda rudi kimakosa Leo unamfanya ndoto yyake izimike. Wanastahili nao kutumbuliwa!
Serikali ifikirie sana , mtu anaweza akawa ana elimu ya sekondari Lakini asiwe na uwezo katika utendaji wa kazi, kwani wapo wenye elimu ya msingi walijiendeleza katika taaluma zao na kuweza kufikia kiwango cha stashahada hadi shahada, je mtu huyo ataambiwa hajasoma? kwa kuwa tu hana cheti cha sekondari? tukumbuke wakati wa vita vya uganda asilimia 99 walikuwa ni wale waliohitimu elimu ya msingi.
Rais wa wanyonge akikandamiza wanyonge.Anajenga Tanzania ya viwanda,! Sasa wale mafundi/technicians ambao wana uzoefu mkubwa badala ya kuwahamishia viwandani anawafukuza?
Tanzania ya wasomi hii sasa japo usomi unaweza ukawa kwenye vyeti bila uzoefu muhimu.