Tetesi: Watumishi wenye Elimu ya Darasa la Saba walioajiriwa kuanzia 2004 waondolewa kazini

Tetesi: Watumishi wenye Elimu ya Darasa la Saba walioajiriwa kuanzia 2004 waondolewa kazini

Hali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004.

Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll ya serikali na inasemekana hata mshahara wa mwezi huu wa saba hawajalamba.

Kuna kituo X cha kazi jumla ya wafanyakazi 17 wameliwa vichwa.
Mkuu sio TETESI ni kweli tupu
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    47.1 KB · Views: 79
Hao waliotoa ajira wakati kulikuwa na Katazo la kutoajiri std seven Serikali ni tena, Adhabu yao nini? Unakaa na Mtumishi miaka nenda rudi kimakosa Leo unamfanya ndoto yyake izimike. Wanastahili nao kutumbuliwa!
 
Kuna maswali machache.

1. Hao watumishi walikuwa wameajiriwa wakijulikana kwamba hiyondiyo elimu yao au ni watu ambao walijifanya kuwa na elimu zaidi? Kama walijulikana, mkataba wao na serikali ulitambua elimu yao hiyo kwamba inafaa kwa kazizao.

2.Elimu ni muhimu. Kujiendeleza kielimuni muhimu. Walipewa taarifa na nafasi za kujiendeleza?

3. Ni watumishiwa kazi gani? Kuna kazi nyingine hazihitaji kisomo sana zaidi ya kujua kusoma na kuandika.Je, kuwaondoa watu wenye kisomo cha chini kunaangalia vigezo gani? Mfagizi wa ofisi hahitajikujua calculus kuweza kufagia.

4. Inakuwaje mtumishi halali aondolewe kazini bila kulipwa mshahara?

5. Wamelipwa mafao yao?
 
Unaondolewa kazini mapema hata umri wa kustaafu bado,Bora zije ajira za mikataba serikalini watu wajifunze pia kazi za kujiajiri.Kutegemea sana kuajiriwa kunamfanya muajiriwa aishie kuwa masikini na fukara wa kujitakia.
 
HII NDIYO ATHARI za kuajiriwa, muajiri anakutoa wakati wowote akitaka sifa anazopendelea bila kujali umemtumikia kwa ufanisi gani, Ufe masikini na fukara si juu yake.Hawa itabidi waanze maisha mapya wakifuata zaidi interest zao.Kuna watakaokuwa waganga wa kienyeji,watu wa dini na wengine wengi tu,maisha bado yanaendelea na mahitaji ya msingi yanahitajika
 
Uhakika ni kuwa wale wa Std 7 kuanzia 2004 kuja 2017 and beyond hawakupata mshahara wa July. Maana yake ni kuwa nao hao OUT of Gov employment!

PREDICTION YANGU (THOUGH NOT OFFICIAL) ....Jiandae kisaikolojia STD 7 wote waliokazini waliosalia hata kama uliajiliwa before 2004. JIANDAE KISAIKOLOJIA.

Hata form 4, jiandae....... unadegree hukupitia......form 4, form six... as the case may be JIANDAE
 
Hawa lengo lao kutemesha kazi walimu wa art 7000+ waliozidi.

amini nawaambieni walimu Hawa


wana
cheti cha std7
cheti cha f4 DVS III- I
cheti cha six I-III
degree GPA 2.7 and above!
 
Tunamalizia namba za tarakimu next tunaanza namba za kirumi.
 
Back
Top Bottom