TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Ni kweliHali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004.
Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll ya serikali na inasemekana hata mshahara wa mwezi huu wa saba hawajalamba.
Kuna kituo X cha kazi jumla ya wafanyakazi 17 wameliwa vichwa.
Umeona mkuu, naamini mpaka sasa hivi kila familia mojamoja humu Tz imeshasomeshwa namba tayari, nakuambia 2020 hapatoshi Tz, labda asitokee mtu mwingine mwenye akili yenye nguvu humu Tz ili kugombea urais,Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, hiiiii ni mbinu ya kupunguza watumishi hawa watu wamempigania sana ila mmmmmmmmmh.....
Yupo kiboko yao LisuUmeona mkuu, naamini mpaka sasa hivi kila familia mojamoja humu Tz imeshasomeshwa namba tayari, nakuambia 2020 hapatoshi Tz, labda asitokee mtu mwingine mwenye akili yenye nguvu humu Tz ili kugombea urais,
Kuanzia mwaka 2000 criteria ya kuajiriwa ilikuwa ni form four.Anajenga Tanzania ya viwanda,! Sasa wale mafundi/technicians ambao wana uzoefu mkubwa badala ya kuwahamishia viwandani anawafukuza?
Tanzania ya wasomi hii sasa japo usomi unaweza ukawa kwenye vyeti bila uzoefu muhimu.
SIO KWELI Mkuu! Wanaoondolewa ni wale darasa la Saba walioajiriwa baada ya 2004 na HAWAJAJIENDELEZA kupata Elimu ya Sekondari. Hawa walioajiriwa kabla ya 2004 ambao ni darasa la Saba HAWAGUSWI!!Weka data vizuri,wanaoondolewa ni wale walioajiriwa kabla ya 2004 na siyo baada ya 2004!